Aisee, yaani katika top cabineti ya nchi, viongozi kutoka bara ni wawili tu? Basi naona kuna haja ya Muungano kuvunjwa, maana idadi ya watu wa Zanzibar ni ndogo kuliko mkoa wa Dar es salaam ajabu yake ina uwakilishi mkubwa katika uongozi kushinda bara yenye watu mara 40 zaidi ya ile ya Zanzibar. Na mwaka 2015 wana mpango wa kumpa nchi Mzanzibar. Ina maana katika top leardership tutakuwa na makamu wa Rais mbara, pamoja na waziri mkuu. Huku nafasi za urais kwa bara na visiwani zikishikiliwa na wazanzibar. Kuna haja ya kuredefine mipaka ya muungano.