Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 402
Halafu eti, Seif nae mpinzani!!!! Mpinzani kwenye high protocol za chama tawala!!!!!! Muafaka au Kiua upinzani. Anyway, heko mkuu SEIF maana naona mambo SAWA SAWA.......
Jamani Seif tumuache. Mazingira yamemlazimisha, mie bado namuona ni mpinzani. Isingekuwa busara zake, Zanzibar ingekuwa katika vita leo hii.
Jamani Seif tumuache. Mazingira yamemlazimisha, mie bado namuona ni mpinzani. Isingekuwa busara zake, Zanzibar ingekuwa katika vita leo hii.
Odd man out - Mizengo Pinda. And please don't ask me why, 'cause we all know why he's odd one in that group.