Elections 2010 Find out an odd man in these photos

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,246
401
IMG_5441.jpg
 
Halafu eti, Seif nae mpinzani!!!! Mpinzani kwenye high protocol za chama tawala!!!!!! Muafaka au Kiua upinzani. Anyway, heko mkuu SEIF maana naona mambo SAWA SAWA.......
 
Halafu eti, Seif nae mpinzani!!!! Mpinzani kwenye high protocol za chama tawala!!!!!! Muafaka au Kiua upinzani. Anyway, heko mkuu SEIF maana naona mambo SAWA SAWA.......

Jamani Seif tumuache. Mazingira yamemlazimisha, mie bado namuona ni mpinzani. Isingekuwa busara zake, Zanzibar ingekuwa katika vita leo hii.
 
Lipumba atakuwa waziri wa mipango na uchumi? au ndiyo hivyo tena. CUF+CCM=Hamad+Serikali
 
Jamani Seif tumuache. Mazingira yamemlazimisha, mie bado namuona ni mpinzani. Isingekuwa busara zake, Zanzibar ingekuwa katika vita leo hii.

Si mpinzani ni msaliti. Amepigania maslahi yake binafsi na mara zote anayetendewa kosa ni yeye. Wenzake wakilalamika kuwa wameibiwa anasema si kweli. Mwaka 1995 alisema uchaguzi uliochakachuliwa ulikuwa ni wa Zanzibar si wa Muungano. Wakati ukweli ni kwamba uchaguzi ulicakachuliwa. Yeye amefanikiwa kuifanya CUF mali yake na kuwatumia Wazanzibari na viongozi wenzake kumbebea maji.
 
Odd man out - Mizengo Pinda. And please don't ask me why, 'cause we all know why he's odd one in that group.
 
Odd man out - Mizengo Pinda. And please don't ask me why, 'cause we all know why he's odd one in that group.

No need to ask.

1. Ndiye pekee hajafunga vifungo vya jacket lake.
2. Ndiye pekee anaipita Morogoro akielekea nyumbani Rukwa.
3. Ndiye pekee mbunge wa jimbo.
4. Ndiye pekee akiwa 'nyumbani' hapati upepo mwanana wa bahari ya Hindi.
5. Ndiye pekee Waziri, wengine wote ni ma-Rais.

Peter Kayanda, mtoto wa mkulima, he is the odd man out.
 
binafsi nafikiri tunapata hasara sana watu wa Tanganyika kuwalea hawa viongozi wa zanzibar, tuvunje tu muungano. hebu ona katika hiyo picha, kikwete na pinda tu ndo from mainland, others from zanzibar. Four top leaders?????? wastage!!!!
 
Aisee, yaani katika top cabineti ya nchi, viongozi kutoka bara ni wawili tu? Basi naona kuna haja ya Muungano kuvunjwa, maana idadi ya watu wa Zanzibar ni ndogo kuliko mkoa wa Dar es salaam ajabu yake ina uwakilishi mkubwa katika uongozi kushinda bara yenye watu mara 40 zaidi ya ile ya Zanzibar. Na mwaka 2015 wana mpango wa kumpa nchi Mzanzibar. Ina maana katika top leardership tutakuwa na makamu wa Rais mbara, pamoja na waziri mkuu. Huku nafasi za urais kwa bara na visiwani zikishikiliwa na wazanzibar. Kuna haja ya kuredefine mipaka ya muungano.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom