Finally Official Windows 10 upgrade is here

Kwani haikuwepo?
Ilikuwepo lakini ilikuwa katika beta version. Na kipindi hicho watu waliweza ku-upgrade kwa kujiunga na "Windows Insider" ili kusaidia ku-address bugs. Lakini sasa hivi imefikia kwenye release candidate, na hapa imekaribia kuwa stable lakini inakuwa inafaa kwa matumizi ya kila siku. Hivyo Microsoft wamerelease update officially kwa Windows phone users ambao wanaweza kufanya upgrade kwa njia rasmi (official upgrade).
 
Muda si mrefu nitaachana nayo hii 620. Kwa bajet ya laki 3.5 mpaka laki 4 nitapata simu gani nzur ya wp? Angalau hata yenye 4G
640 au 640xl version ya lte, au 650. pia kama 830 zinashuka bei kama utaipata hii itakuwa nzuri zaidi
 
mimi nasubiria mpaka nipewe msg ya ku update to window 10 sitaki haraka.
 
Muda si mrefu nitaachana nayo hii 620. Kwa bajet ya laki 3.5 mpaka laki 4 nitapata simu gani nzur ya wp? Angalau hata yenye 4G
kwa laki 4 unaweza ukanunu simu nyingi sana za bei nafuu kama tecno h5,h6 nk ambazo utanunu na chenji inabaki ya kuelekeza kwenye matumizi mengine ya kimaendeleo,ni ushauri tu huo mkuu,un less unaweza ukatumbuliwa jipu wenye nchi wakikusikia tena
 
region? language?

mpaka lugha na eneo vifanane na cortana awe anavijua mfano english us
Ilikuwa US lakini kumbe cortana ilikuwa disabled na ikiwa disabled haionekani hata kweny settings. Nimefanikiwa ku Enable na inafanya poa. Issue nyingine ni hii CALL BLOCKER haionekani kwenye settings hadi uende kwenye call hostory ndio inapatikana. Sijui hii imekaaje kwa model zingine za lumia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom