eliasy
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 455
- 54
yaani ni hv, Natumia Nokia Lumia 630 ina Ram ya mb512, niliinstall update advisor ikaniambia Divice not surported to receive win 10 update nikasema isiwe tabu, nikainstall win insider then release preview kisha nikaupdate nikapata win 10, nika uninstall insider kisha nikainstall tena safari hii nikachagua Product ikaniambia nitakuwa nikipokea update moja kwa moja na sio Preview tena. Nikaenda settings then phone update nikapewa build no.10.0.10586.164. Ndo ninayoitumia lkn naona fresh tu haizingui wala nini. Sharobaro na Chief-Mkwawa
Shida yangu ni kwamba ktk lumia 620 ambayo ina ram ya mb512 itakubali? Coz nimeweka hiyo insider tyr na ktk simu upande wa update iko hvyo kama picha inavyoonesha hapo chini.....,