Finally Nokia kuja kwenye Android 7.0

Finally Nokia kuja kwenye Android 7.0

1. sio wachina ni ex Nokia wanajiita HMD global wapo Finland
2. deal lao na nokia watatumia technology za nokia
3. Usifananishe Technology za Nokia na hao wengine Nokia yupo level yake ya kipekee. Kampuni yenye patents nyingi zaidi za simu na makumpuni makubwa mengi ikiwemo hayo uliyoyataja kama Blackberry na Samsung wanalicence Technology za Nokia ili watumie kwenye Simu zao. Wiki hii Nokia wametangaza Samsung atakuwa anamlipa Euro milioni 250 kwa mwaka, sasa fikiria Giant kama samsung anatoa hela zote hizo ujue sio mchezo

hizo simu ni rumors tu haijulikani kama ni kweli ila katika hizo rumors ni kwamba zitatumia sensor za graphene, kama ni kweli tegemea kitu ambacho hujawahi kiona maishani mwako hata ile pureview itakuwa si kitu, Nokia wana tabia ya kuresearch vitu miaka na miaka maabara kabla havijawa released kwa consumer
GO0D
 
Back
Top Bottom