Nilimtafuta mwanamke nikampa ela kupitia mwanasheria akabeba mimba miez Tisa baada ya kujifungua watoto mapacha nikachukua watoto wangu nikampa hela tuliyokubaliana kila mtu Akala hamsin zake.Sijaelewa ..
Sasa fertilization ilitokea wapi/tumbo lA nani!?
Sijaelewa ..
Sasa fertilization ilitokea wapi/tumbo lA nani!?
Mpango wa kuoa nilikua nao na napenda sana ndoa Ila ndio hivyo huwezi Amini niliambulia vibutiWanawake wote hawa mkuu,ina maana hakuna aliyekukubali kabisa? Au ulitaka Tu huo mpango
Inawezekana mzee. Kuna ile unakua na vigezo flani hivi vya mwanamke unaetaka kua nae, bahati mbaya kila mwenye hivyo vigezo ukijitahidi kumtongoza na kuonyesha nia ya dhati ya kua nae unaambulia vibuti... Halafu wale ambao huna mzuka nao ndio wanakushobokea hatari.Wanawake wote hawa mkuu,ina maana hakuna aliyekukubali kabisa? Au ulitaka Tu huo mpango
Nakubaliana na wewe kabisa mkuuInawezekana mzee. Kuna ile unakua na vigezo flani hivi vya mwanamke unaetaka kua nae, bahati mbaya kila mwenye hivyo vigezo ukijitahidi kumtongoza na kuonyesha nia ya dhati ya kua nae unaambulia vibuti... Halafu wale ambao huna mzuka nao ndio wanakushobokea hatari.
Hakuna raha kama kuingia katika ndoa na mtu wa ndoto zako. Inaleta utulivu flani hivi wa nafsi. Bahati mbaya ni wachache hupata bahati hiyo! Majority hujikuta anafanya maisha na mtu ambae hata hakua ktk fantasy zake. Ndio hao mwisho wa siku unakuta wapo kwenye ndoa lkn kutwa wanahangaika na ma X!
Poa mkuu kama moyo wako Una Amani basi Hilo ndio Jambo muhimu sanaMpango wa kuoa nilikua nao na napenda sana ndoa Ila ndo hivyo huwez Amin niliambulia vibuti
Huwez amini hakuna hata mmoja yaan surrogate imenitibu moyo wangu uliokua umepondeka pondeka
Swala la vigezo nilishaliweka pembeni lakin still mambo yakawa magumu kwenye maisha tunaweza lazimishwa kutafuta ela tukafanikiwa lakin sio kwenye mapenzi Yale hayalazimishwi msingi wake umejengwa kwenye hisiaInawezekana mzee. Kuna ile unakua na vigezo flani hivi vya mwanamke unaetaka kua nae, bahati mbaya kila mwenye hivyo vigezo ukijitahidi kumtongoza na kuonyesha nia ya dhati ya kua nae unaambulia vibuti... Halafu wale ambao huna mzuka nao ndio wanakushobokea hatari.
Hakuna raha kama kuingia katika ndoa na mtu wa ndoto zako. Inaleta utulivu flani hivi wa nafsi. Bahati mbaya ni wachache hupata bahati hiyo! Majority hujikuta anafanya maisha na mtu ambae hata hakua ktk fantasy zake. Ndio hao mwisho wa siku unakuta wapo kwenye ndoa lkn kutwa wanahangaika na ma X!
Hata wanaume nao wasome wengi hawana uwezo wakutungisha mimba, sasa niwao kwenda na wake zao kufanya hii kitu kuliko mwanamke kuchepuka na mbaba baadaye anaanza kumzengea mwanayeHuu uzi wanawake wote wanapaswa kuja kuusoma na kujifunza kitu. Maana wamezidi kuringa na sasa ndiyo kabisaa wamegeuza mapenzi kama eti ni kitega uchumi. Umemmiss uunataka kwenda kumwona mara anakwambia umwendee na elfu ishirini ya kusuka, mara hela sijui ya lotion. So tired,.. bora kutafuta tu surrogate maisha yaendelee
Ooh jamani!!! mbona tusioringa tupo tumejaa tele, njoo nikusaidie kulea mkuu ikiwezekana tuongeze mapacha wengineBaada ya vibuti na kukataliwa na wanawake wengi finally niliamua kutumia surrogate ili kujenga familia upinzani ulikua mgumu Ila finally nimefanikiwa Ila ndo hivyo watoto hawatakua na mama sababu mbegu za kike nilinunua
Life is good kama ukikubali ukweli kwamba love relationship is not for everyone
Surrogate ni mkomboz kwa sisi wanaume ambao tuna damu za kunguni a.k.a za kukataliwa na wanawake
π π π Huyu wa ndoto zako ni mpaka ajue hii thamani ya kuwa wa ndoto zako, kinyume chake anaweza kuwa nightmare wa maisha yakoHakuna raha kama kuingia katika ndoa na mtu wa ndoto zako. Inaleta utulivu flani hivi wa nafsi.
This is so lovelyOoh jamani!!! mbona tusioringa tupo tumejaa tele, njoo nikusaidie kulea mkuu ikiwezekana tuongeze mapacha wengine