Finally nimepata Iphone 12 pro max!

Mkuu hizi forwarding service unatumia vipi? nahitaji muongozo.
 
Mkuu hizi forwarding service unatumia vipi? nahitaji muongozo.
Hizi ni kampuni ambazo unazilipa hela zinakupa address, wewe unanunua kitu na kutumia address uliopewa then wao wanakipokea na ku kutumia wewe huku Tanzania.

Mfano wa hizo service ni kama
1. Myus ambayo inatumia FedEx,
2. Shop and ship ina tumia Aramex

Gharama za usajili kama hio shop and ship ni $10 na kila nusu kilo kama $15 Hivyo kama unanunua kitu hizo gharama zitazidi kwenye bei ya kitu.

Pia Mwl rct Ana agizishia kama unaona njia za hapo juu ni ngumu.

Na tip nyengine subiria wakati wa offer, sikukuu kama xmass, New year, black Friday etc unakuta vitu kibao vinashuka bei, unaweza nunua kitu hata kwa nusu bei.
 
Ok nimekupata mkuu mimi huwa nashindwa kununua vitu kupitia Amazon kwa sababu ya bei ya shipping ndio maana nikaulizia lkn nimepata mwanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…