Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,640
- 8,338
🤣🤣🤣 , Siyo poa .Ila shangazi yako amejua kunichekesha😂😂
Sema huwezi jua aliona nini Kwa huyo binti Hadi aliingilia Kati kukuepusha nae
Mno , nisingewanyosha wale visorokwimbo vingemnyosha bi mkubwa.Inaelekea unawanyoosha kwelikweli
😂 😂😂😂,🤣🤣🤣 , Siyo poa .
Alikuwa anakuja hadi Ofisini ..
"Naitwa mama Fulani nimefanya kazi pale .. .. Sasa hivi ni mstaafu ... Namuulizia mwanangu Fulani ... 🤣🤣...
Shangazi kunyweni hata soda jamani ... Yeye ndo katutembelea alafu anatupa ofa .. 🤣🤣🤣 .....
Kwanza this weekend wacha nimtembelee nimjulie Hali
Hongera kupata kitotoo.Wakuu habari za nyie...
KWa hakika siku hazigandi, na hawakukosea walivyosema "What goes around comes around"!
Vile tunavyowaonaga ndugu upande wa Baba miyeyusho hasa mashangazi, tunavyowaonaga hawana maana, na sifa zote mbaya na matatizo tunayatupiaga kwa ndugu upande wa baba.
Hatimaye little brother katuletea kanew born na sisi (nikiwemo na mimi) tushakuwa mashangazi upande wa baba! Nasubiri tu nizeeke nianze kuitwa mchawi wakiumwa waseme shangazi ndio anawaroga!
Sema fresh Nakubali
Mtoto wangu nae kapata shangazi ambae najiuliza huyu ni shangazi au malaika☺️Mimi ni yule Auntie kila mtoto anawish kua nae, watoto wa ndugu zangu wananipenda sana, nilivyopata mtoto wangu wakaanza kulia eti sitowapenda tena wao😄😄🤣
Ukiwa na hela wala hautaitwa shangazi, utaitwa Aunt na utapendwa sana. Kila siku atataka kuja kwa Aujt Lee.Wakuu habari za nyie...