Hapa kwenye kuolewa sasa😂😂😂,. Nakaombea Tu kakifikisha 22yrs kawe tayari kamepata bwana maana najua akifikisha 30 Mie ndo nitakua suspect number moja.."Shangazi yako ndio kakufunga nyota usiolewe " 😁😁😁
ila mashangazi na mabibi huwa mnatukanwa na kutuhumiwa sana na wakwe zenu na hii ni kwa sababu ya kuingilia nyumba ya ndugu na mtoto wenu. Ukipunguza au ukijiepusha na hili, mchezo umeisha 😁😁😁
😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakumbuka mama alikuwa anapenda kusema " Na hamtaolewa kama shangazi zenu"
Na Mimi sasa naenda kuwa mfano siku si nyingi
Yule shangazi miyeyusho kinouma , hana pesa ila kwenye vikao ya ukoo ana mikakati kinouma , akitoka hapo utasikia shangaa na bia yangu moja kwako kwa kila wa wa kaka zake😅Haha 😂 😂 😂 😂
Mia ya kuwaachieni anaitoa wapi wakati anavyoondoka yeye ndio anataka afungashiwe mazaga ya kurudi nayo kwake,.
Najua hatakama sina roho mbaya inaonekana ninayo kwasabu tushaamini mashangazi upande WA Baba wanazoIla kiukweli mashangazi huwa mnaongoza kuwa na roho mbaya..
Tumesahau kuwa Shangazi ndo wifi mtu huyo huyo ..
Shangazi ni wifi aliyepanda cheo .
Kwamba umempiga lock asiondoke nyumbani 😁😁😁Hapa kwenye kuolewa sasa😂😂😂,. Nakaombea Tu kakifikisha 22yrs kawe tayari kamepata bwana maana najua akifikisha 30 Mie ndo nitakua suspect number moja..
Hata ukikaa mbali basi Tu itatafutwa namna 😂😂
Ntaambiwa me ndio nafanya asionekane na vijana😂Kwamba umempiga lock asiondoke nyumbani 😁😁😁
Ila hizi issues hazizuiliki na sometimes unaweza kujikuta tu watoto wa ndugu zako wanakupenda au wakakuchukia kutokana na personality yako. Mfano mimi sikuwahi kuonekana kauzu udogoni ila watoto wa ndugu zangu baadhi huwa wananiona kama anko flani serious 😁😁
Kwa hiyo jiandae tu
Aliyeanzisha hii imani potofu apelekwe mahakamaniIla kiukweli mashangazi huwa mnaongoza kuwa na roho mbaya..
Tumesahau kuwa Shangazi ndo wifi mtu huyo huyo ..
Shangazi ni wifi aliyepanda cheo .
duhh aisee! Yaani umeshaanza kujitakia mwenyewe?? haya bhana!"Nasubiri tu nizeeke nianze kuitwa mchawi wakiumwa waseme shangazi ndio anawaroga!"
Na yeye ndio anakuwaga WA Kwanza kupinga kila Jambo hatakama la maana bila sababu atataka akatae ili mumpe Attention 😂😂Yule shangazi miyeyusho kinouma , hana pesa ila kwenye vikao ya ukoo ana mikakati kinouma , akitoka hapo utasikia shangaa na bia yangu moja kwako kwa kila wa wa kaka zake😅
Ili uwe aunt lazima usiwe mnoko,punguza mdomo,final uwe na hela🤗🤗🤗🤗🤗Basi me ntajitahidi niitwe Auntie
Bado hajapatikana😂😂Sasa mjomba wake wa kumuheshimisha shangazi ameshapatikana tayari?
Au watu waanze kutuma request PM?
Na kame pauka , huo mguu umepasuka kwenye visigino nyoka anaweza jificha huko, ila kalivyo na kiherehere na shigo yake ndefu kama ndege John sasa🚮Na yeye ndio anakuwaga WA Kwanza kupinga kila Jambo hatakama la maana bila sababu atataka akatae ili mumpe Attention 😂😂