Finally, I'm that auntie from dad's side!

Finally, I'm that auntie from dad's side!

Ili uwe aunt lazima usiwe mnoko,punguza mdomo,final uwe na hela🤗🤗🤗🤗🤗
Out of that utakuwa shangazi kaja mdogo wangu🤣🤣🤣🤣🤣
Hivyo vingine vyote nimequalify,. Hapo kwenye hela ndio najiona kabisa shangazi kaja Mimi😂
 
Bado hajapatikana😂😂

Ndio hapo ntaanza kuwa mfano,. " Si mnamuona shangazi yenu ambavyo hajaolewa na nyie endeleeni.....,. Mtazeekea nyumbani kama shangazi yenu." 😂😂
Basi wadau wameshaona ujumbe.
Fungua PM tu waje.
Mimi nishazeeka ningekimbilia nafasi faster.
Ukichelewa unajikuta kama vijana walioomba vyuo wanalia wamekosa nafasi kisa walichelewa ku-confirm.
 
Wakuu habari za nyie...

KWa hakika siku hazigandi, na hawakukosea walivyosema "What goes around comes around"!

Vile tunavyowaonaga ndugu upande wa Baba miyeyusho hasa mashangazi, tunavyowaonaga hawana maana, na sifa zote mbaya na matatizo tunayatupiaga kwa ndugu upande wa baba.

Hatimaye little brother katuletea kanew born na sisi (nikiwemo na mimi) tushakuwa mashangazi upande wa baba! Nasubiri tu nizeeke nianze kuitwa mchawi wakiumwa waseme shangazi ndio anawaroga!

Sema fresh Nakubali

Tafuta hela sasa upunguze makali ya kutoka kuitwa shangazi Leejay49 uwe aunt Leejay49

Hongera by the way, i can't wait kuitwa aunt siku ndugu zangu wakiwa na watoto
 
Basi wadau wameshaona ujumbe.
Fungua PM tu waje.
Mimi nishazeeka ningekimbilia nafasi faster.
Ukichelewa unajikuta kama vijana walioomba vyuo wanalia wamekosa nafasi kisa walichelewa ku-confirm.
Waambie waje chap uwanja uko wazi,. Chamsingi waje wakiwa na Applications fees mikononi😂
 
Sawa shangazi miyeyusho.

Shangazi Alinijaza moto, nikaandaa mpango Kazi .. ATI Biashara gani ina lipa hapo mujini..

Vifaa vya kielektroniki . ..

Ahadi kibao .. Nikatafuta frame .. suppliers mwisho wa siku shangazi kaingia mitini ... ATI oh waliniibia kule saiti ...

Mashangazi siyo pooa
 
Sawa shangazi miyeyusho.

Shangazi Alinijaza moto, nikaandaa mpango Kazi .. ATI Biashara gani ina lipa hapo mujini..

Vifaa vya kielektroniki . ..

Shangazi akasema alafu Yule mwanamke uachane nae kwanza , Wala usimuwaze .. si nikaingia kingi nikampiga mtoto WA watu tukio

Ahadi kibao .. Nikatafuta frame .. suppliers mwisho wa siku shangazi kaingia mitini ... ATI oh waliniibia kule saiti ...

Ahsante Kwa kuniyeyusha shangazi miyeyusho..
 
Tafuta hela sasa upunguze makali ya kutoka kuitwa shangazi Leejay49 uwe aunt Leejay49

Hongera by the way, i can't wait kuitwa aunt siku ndugu zangu wakiwa na watoto
Kwakweli nipambane niitwe Aunt Leejay,.

Asante,. Kwanza ni raha nyumba ikiwa na katoto kachanga kama hivi hutamani kutoka aisee mda wote unataka umshike, umbebe
 
Sawa shangazi miyeyusho.

Shangazi Alinijaza moto, nikaandaa mpango Kazi .. ATI Biashara gani ina lipa hapo mujini..

Vifaa vya kielektroniki . ..

Ahadi kibao .. Nikatafuta frame .. suppliers mwisho wa siku shangazi kaingia mitini ... ATI oh waliniibia kule saiti ...

Mashangazi siyo pooa
Msamehe jamani mambo hayakwenda vizuri,.
Sio miyeyusho😂
 
Katika vitu vya kuwa makini , kama kaka yako ana mke wake ishi nae kwa umakini mkubwa sana , mashangazi wanaanza kuwa miyeyusho kwa kuleta bifu na umbea na wake za kaka zao
Kutaka kujipa umuhimu kwenye maisha ya kaka zao,. Ndio maana tunawaonaga hawana maana.. Yaani wanataka wapewe treatments sawa na anazopewa wifi yao.. ( Tatizo ndio linaanziaga hapa )
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom