Finally, I'm that auntie from dad's side!

Msamehe jamani mambo hayakwenda vizuri,.
Sio miyeyusho😂
Mwanae /Binamu alinambia baadae kuwa ulikuwa ni mkakati wa yeye kuniachanisha na Bi Fulani ATI hatuendani .. gademiit... Those months Mimi na shangazi Tulikuwa beneti hadi kwenda kula pamoja kwenye virestaurant , naandaliwa kahawa .... Tunapiga pyepyepye na kupanga mikakati....

Jambo ambalo mwanae na bimkubwa walikuwa wanashangaa .. haujawahi Tokea akawa friendly na mtu kiasi kile
 
Hata wewe hukustuka jamani?😂😂

Ushawahi kuona wapi urafiki na shangazi
 
Upande wetu mashangazi wote isipokuwa mmoja huwa wanatuhumiwa kwa uchawi waliorithi kutoka kwa bibi, upande wa mke wangu mashangazi zake wote ni watu wema,na mmoja wa shangazi wake(apumzike kwa amani) ndiye aliyesaidia mimi na yeye tukaoana. Mashangazi wana ngu8u fulani ktk ukoo.
Sisi wenyewe upande WA mama shangazi zetu wote wako peace sanaa,. Kwanza ukienda kuwatembelea au wakija kututembelea unaenjoy maisha ,. Hawana Mambo mengi
Njoo upande WA pili sasa mwee!😂
 
Hata wewe hukustuka jamani?😂😂

Ushawahi kuona wapi urafiki na shangazi
I was desperate at that time , nilihitaji Pesa .. ogopa nobody ever lived with her for two months .. alafu apikiwe chakula kizuri...
Watu wakienda unakuta kajipikilisha viazi vitamu kutwa nzima , Au ndizi na bamia, nyanya chungu , ATI Ako na pressure anataka pia Aishi miaka mingi . Alinipa hadi bible ... .. alinijaza Kwa kweli ..
 
Ila shangazi yako amejua kunichekesha😂😂

Sema huwezi jua aliona nini Kwa huyo binti Hadi aliingilia Kati kukuepusha nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom