Finally Huawei E303 unlocked

Jaribu hapa
 
Mkuu tupe report, PC imepona utupe ujanja

Mkuu mi nlifanaya kama gKiwango kwenye hiyo link ila baada ya kumaliza kucopy vile vile vimstari nakuvipaste katika ile file kama notepad kwenye installation folder ya mobile partner nlienda nakuifunga mobile partner maana hua inafunguka yenyewe baada ya kumaliza hio process ya kuallocate drivers alafu nikaiunlock ile modem kwa njia ya kawaida ya kutumia airtel firmware ambayo kuna member humu ndani alioneshaga maana ss ivi ile firmware inakua inaweza kudetect modem as it is in gsm mode we cha msingi usiichomoe tu baada ya kuadd zile lines na kuallocate driver ilipo
 
Wadau naombeni msaada jinsi ya ku-unlock hii modem hua haisomi port nadhani ina security kubwa sana.
 
Wadau naombeni msaada jinsi ya ku-unlock hii modem hua haisomi port nadhani ina security kubwa sana.

Hii kitu mbona inapiga mzigo mkuu, download dashboard yake original from the internet achana na ile inayokuja kwenye memory ya modem ambayo iko modified kidogo na voda, then chukua na firmware upgrade yake kwenye google. Upgrade hiyo kitu, mbona inasomeka au machine yako imeshindwa vipi kumdetect jamaa! nilipiga moja model hii ikaitika bila hata shida
 

mkuu hebu nisaidie link yake, hii ipo tofauti sana na zile common za e303
 
mkuu hebu nisaidie link yake, hii ipo tofauti sana na zile common za e303

Link hii hapa Huawei_e303_hilink_firmware_update
na kama bado itakusumbua unajua hiyo kwa sababu ni hilink so unakuta ina mode mbili, unaweza ukaswitch iingie katika modem mode, ukifungua browser yako ingiza "http://192.168.1.1/html/switchProjectMode.html" kuaccess hiyo sehemu ya kuswitch mode, drivers ikiomba utainstall kawaida tu zipo kwenye modem... hapo itasomeka port yake vizuri tu... afu ukimaliza kuchakachua unairudisha katika hilink mode kawaida kupitia link hiyo hiyo...
 
mkuu hebu nisaidie link yake, hii ipo tofauti sana na zile common za e303
Mkuu em chukua hii link ndiyo niliyopitiapitia nikaona jinsi ya kuiweka into modem mode ili uone port yake kwa urahisi japo haielezei jinsi ya kuichakachua, ila ukishapata port obviously kuichakachua ni njia ya kawaida kwa kufanya update ya firmware tu.... Hii link itakupa maelezo ya kina

Huawei HiLink modems (E303, E3131, etc.) - Page 2
 

nashukuru kaka ngoja niingie mzigoni nitakupa feedback
 
Last edited by a moderator:

Mkuu naona wabongo wamesimama sana siku hizi, hiyo hadi ishatengenezewa instructions zimetupwa kwenye net...
Bado tu sasa kutengeneza software za kututambulisha duniani humu
 
Mkuu naona wabongo wamesimama sana siku hizi, hiyo hadi ishatengenezewa instructions zimetupwa kwenye net...
Bado tu sasa kutengeneza software za kututambulisha duniani humu

naona Vijana wamekuja juu zamu hii hamna kulala
Tusibiri madevelopers wetu walioko shule sasa watakuwa na attitude gani juu ya Hii industry na kuitangaza Bongo
 
Thanks wakuu its works, nimefanikiwa ku- unlock. Nashukuru kwa ushirikiano.thanksssssssssssssssssssss.
 
Wana jamii wenzangu naombeni msaada wa ku unlock modem ya tigo e303...
 
Thanks wakuu its works, nimefanikiwa ku- unlock. Nashukuru kwa ushirikiano.thanksssssssssssssssssssss.

Mkuu yangu bado inanigome hasa pale wakati wa kui-upgrade..., inatoa error ambayo ni ina-fail to get device info.
nimegoogle wee wapi nimeclose apps zote lkn bado mkuu...
naomba msaada wako
 

kuifanya isome port ndio pagumu nikifungua link http://192.168.1.1/html/switchProjectMode.html inafungua white-page tu alafu inadisconnect modem wakati wa ku-update modem haiwi detected
 

Thanks mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…