Finally: BBC speaks the truth


5,000,000 hutu died after liberation???? duh kweli genocidaire mmeamua kuleta uongo to the point that even your math does not add up. Wafe watu milioni tano na dunia isijue? hii kali.
 

Jiulize kwanza mwenyewe kwa nini unamchukia sana kagame? Na kwa nini unaichukia marekani?
Najua hapa tz akiamua kikwete bunge haliwezi kupinga na ilikuwa akiamua nyerere bunge haliwezi batilisha, lakin uhalali wa kisheria uko palepale bunge ndo chombo cha uwakilishi, usipopenda maamuzi ya bunge imekula kwako make hata mahakama yenyewe haiingilii maamuzi ya bunge sasa itakuja kuwa wewe?!!
 
Nasubiri BBC kufuatilia na hili swala la kuhusu marekani kutengeneza virusi vya ebola,na ile ishu ya september11.
 
ujinga wa kagame mie huwa sipendi sana hata kuuchangia manaake ni mpuuzi.
 

Sasa mbona unasema tunatetea wazungu? we unafikiri marekani ni mwarabu huyo? Kama huna point za kuongea nyamaza.
 
Nawashangaa sana watanzania wanaomchukiaga Kagame. We all know anatawala kidikteta lakini kuna diplomatic channels za kumshauri! Given the sensitive nature of this issue mi naona BBC wana lengo lao kwa kutoa documentary controversial kama hii.
Hawa BBC mnaowasifu sana mimi kwangu ni western media, and to me western media is all part and parcel of the western machine that has destroyed and looted from many African countries....kuanzia libya na kuendelea!
Watuelezee basi na the role France played in kuchochea genocide. Kama hamjui hakuna nchi inayofaidi mali za koloni zake kama Ufaransa. How France loots its former colonies | This Is Africa

hiyo picha hapo inaonyesha wanajeshi wa ufaransa wakimhand over an unwilling victim wa genocide kwa militia men.
Watanzania mnataka Rwanda ianguke tena na kuwa kama Libya au? Hapo ndio mtafurahi? Siwaelewi na naomba mmoja wenu kwa ustaarabu anielezee shida yetu sisi waTz na Rwanda iko wapi?
 
Siku jumuiya za kimataifa (ICC) zikitangaza dau kwa kichwa cha Kagame watuachie hiyo kazi.JW inamtani sana huyu kibri.
 

Mh eti huwa unajiuliza? Hata usichoshe kichwa chako bure,mambo ya Rwanda hautoyaweza, yanaweza yakakufanya uvae chupi kichwani!nakushauri uwe unajiuliza mambo ya huko kwenu maana naona yanaenda kombo.
Hizo hisia zetu kali ndio zilizotufanya tusimamishe mauajiRwanda na tokea kipindi hicho tumejifunza mengi kutoka kwetu wenyewe, tunajuaushauri wenu (Ma extremist) na wanafiki wengineo duniani hawatupi shida,tunafanya tunachotaka na asiye kubali address yetu anaijua.
Tatizo lenu mpaka leo bado mko confused, tatizo sio huturefugees or whatever (Rwanda is for Rwandans) it is about Extremist Rwandansand their allies wherever they are, hebu jiulize hizo kelele zimemaliza miaka20 lakini mpaka leo mbona mmeshindwa kubadili kitu au maana yake ni kwambamnapenda tunavyofanya lakini unafiki unawasumbua?
 

Patrick, unadhani unaweza ku wa reason hao wajinga? they are blinded by hate and Genocide ideology, huwezi ukawareason wakakuelewa. They were defeated militarily and are scattered all over, most of them are in DRC Jungle, but recently their number in Tanzania has been increasing thx to Gen. Bigaruka's Plan facilitated by the Late spy Master. So ukitaka kuwaelimisha inabidi ufanye kazi kwelikweli manake ni akina hambiriki. Wako very Busy wameanzisha Front nyingine ya Key board baada ya sound defeat militarily. Utawakuta humu wanaanzisha topic chungumzima, kila baada ya masaa macheche utakuta Topic mpya ya kumponda Kagame, ya kuponda Watutsi iri mradi wako busy kweli. Mfano humu ndani ya JF Int. Chukua page ya kwanza hadi ya kumi hesabu Topic za namna hiyo, utashangaa nyingine ni kujirudiarudia tu iri mradi wenyewe wanajisikia kama vire wako vitani na wanamshambulia adui yao mkubwa Kagama au Mtusi. but the Guy as he said doesnt give a damn he is busy developing his people while here the likes of JMali, Justdoitnow,Ngongo,Rushasha etc are obsessed with their foolish hate. So an advise " Dont Argue with fools they will drag you down to their level and then beat you with experience"
 

Nakubaliana na wewe 100%, tunawafuatilia kiumakini, ninachoonani kusubuli ile signal yakuwashambulia popote walipo kabla maji hayajazidikikombe and this time we know it will hurt but will be a lesson once and forall, kelele za hao wauza sumu safari hii lazima tuziweke pembeni for a betterRwanda.
 

Aminiusiamini: I choose not to believe. Frankly I hate people who come up with outlandish claims but do not provide any evdidence. What do you think we are? Children? " Tanzanians knew about Kagame's plans to shoot...." Well, I am Tanzanian and I did not know. You either provide a source, audio, photo or.....it never happened.
 
Dahl! Nimetoka kumaliza kuitazama. Mimi nawauliza wanajamv wenzangu hiv uchaguz rwanda ukiwa wa huru na haki kweli mtusi ataweza kutawala rwanda

kagame ni muuaji kagame ana nuka damu za raia wasio kua na hatia,watutsi ni wauaji wanastahili kunyongwa na wao.go to hell kagame.
 

kaagame na watutsi wenzake wote ni wauaji hawastahili kua hai mpaka leo.time will tell go to hell kagame.
 
kagame ni muuaji hastahili kuishi,time will tell go to hell kagame.
 

kagame ni muuaji muda wake unahesabika,time will tell,go to hell kagame.
 
Ndugu Umslopagas kwanza unatakiwa uelewe jambo moja muhimu sana Tanzania tuna uhuru wa kuongea kusema tofauti na Rwanda.Ebu niambie kama inawezekana ambo hili kutokea Rwanda,mfano Tanzania kuna mchakato wa kupata katiba mpya wapinzani na makundi mbali mbali wameipinga je Rwanda wapinzani wanaweza kupinga jambo anlotaka Kagame na bado wakawa salama ?.

Tuanzisha threads kwamba Rwanda imetupa miili ya watu 40 ziwa Rweru inakuuma sana.Tukisema serekali ya Kagame inahusika na mauaji ya wapinzani kule SA hautaki.Haya BBC wamesema kile msichotaka kuambiwa mnalia lia kama watoto waliokosa maziwa.FLDR wamesema wapo tayari kurejea Rwanda lakini wanataka kwanza kujua askari wao waliorejea Rwanda zamani bado wapo hai au lah na iwapo serekali ya Kagame itashindwa kuithibitishia dunia kwamba askari waliorejea wote asilimia kubwa tayari wameshauwawa.

 
Last edited by a moderator:
Ndugu Umslopagas kwanza unatakiwa uelewe jambo moja muhimu sana Tanzania tuna uhuru wa kuongea kusema tofauti na Rwanda.Ebu niambie kama inawezekana ambo hili kutokea Rwanda,mfano Tanzania kuna mchakato wa kupata katiba mpya wapinzani na makundi mbali mbali wameipinga je Rwanda wapinzani wanaweza kupinga jambo anlotaka Kagame na bado wakawa salama ?.

Tuanzisha threads kwamba Rwanda imetupa miili ya watu 40 ziwa Rweru inakuuma sana.Tukisema serekali ya Kagame inahusika na mauaji ya wapinzani kule SA hautaki.Haya BBC wamesema kile msichotaka kuambiwa mnalia lia kama watoto waliokosa maziwa.FLDR wamesema wapo tayari kurejea Rwanda lakini wanataka kwanza kujua askari wao waliorejea Rwanda zamani bado wapo hai au lah na iwapo serekali ya Kagame itashindwa kuithibitishia dunia kwamba askari waliorejea wote asilimia kubwa tayari wameshauwawa.

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…