Finally: BBC speaks the truth


Ulongo=uongo.....watusi mna shida mna mikono iliyo jaa damu za wahutu...go to hell kagame.
 
Hii ndio akili ya chinga kutembea juani siku nzima kuuza juice na magazeti.

Bora mimi ninae shinda juani natafuta pesa kiuhalali kuliko wewe unae kesha mtandaoni kuwatetea waume zako wauaji wanao saka hela kwa kumwaga damu za raia inocent.
 

walipokuwa kwenye matatizo hawakuwasaidia chochote ila nashangaa sasa wanataka kuwasaidia kuipoteza aman yao. WALAANIWE MASHUSHUSHU WOTE WEUPE KWA WEUSI
 
Ulongo=uongo.....watusi mna shida mna mikono iliyo jaa damu za wahutu...go to hell kagame.

sasa unajenga ama unabomoa watu wameshatulia wamekaa pamoja wamesahau yote ww usiye hata na ndugu huko unajitia una uchungu sana huo ni unafik na uchanganishi hell it's around you
 
Ufaransa walikuja juu kuhusu Mauaji hayo Kagame akavunja nao ubalozi na pia akabadiri lugha ya Nchi hiyo kutoka French na kuwa English sasa Waingereza nao Washamuuzi nadhani Ataanza kutumia Kiswahili naye.....

Karibu Sana ila Ukweli siku zote huuma... Ni Kam yale ya Mwan.a. Hali.si kula Ban ya uhakika..
 
acha kumtetea huyo muuaji kagame wewe,watusi sio watu wazuri kabisa wana roho za kinyama hao.

Nadhani hujielewi, bunge ndo limeamua hivyo na ni bunge la rwanda kwa ajili ya warwanda sasa kagame anaingiaje? Na wewe ni nani kuponda maamuzi ya warwanda kwa ajili yao? Hivi katika nchi kunamaamuzi ambayo yanaminika kama ya bunge la nchi? Angeamua rais kidogo ingekuwepo hoja lakin sasa limeamua bunge hapo hoja ni ipi sasa? Nakutolea mfano, kumekuwa na maamuzi ambayo wakuu wa nchi wamepata kufanya mfano mzuri US&UK kupeleka majeshi iraq hilo suala lilipelekea tony blair kuhojiwa kwa masaa kadhaa alipotoka madarakani lakini hivi majuzi bunge la uingereza limeridhia majeshi yao yakapambane IS na hiyo imeepusha malalamiko na usitegemee cameron kulaumiwa sasa na hata baadae kwa jambo hilo, sasa iweje wewe umlaumu kagame kwa maamuzi ya bunge, unahoji maamuzi bunge? Basi huwezi kusadiki maamuzi ya chombo chochote.
 
Ulongo=uongo.....watusi mna shida mna mikono iliyo jaa damu za wahutu...go to hell kagame.

Dua la kuku halimpati.....wacha kuwadhalaulisha machinga wenzako! ndugu yangu umepitwa na mengi kweli, watutsi mshwamaliza kwenye Genocide hivi kumebakia wanyarwanda tu au haitoshi na wao lazima wauwawe wote? acha kujipa laana we chinga baada ya kufikiria biashara mpya we unafikiria kuuwa tu! duh kazi ipo
 
kagame kama ana akili, alitakiwa kuukubali ukweli alioambiwa na kikwete, akae aongee na wabaya wake wayamalize na aache ubabe wakati hana mbele wala nyuma. kuna siku atakuja kuaibika sana na dunia imeshajua ukweli wote. nimeisikiliza ile tape ya bbc Rwanda untold story, nimewasikia na wapambe wake aliokuwa nao, nimeshuhudia alivyoua wanawake na watoto KIBEHO kwa kulipiza kisasi, nimeshuhudia waliouawa congo, ameua watu wengi sana, damu nyingi amemwaga na kuna siku Mungu mwenyewe ataingilia kati. its too much.
 
Kama unafuatilia siasa za dunia utajua hivi vitu havifanywi tu hivi hivi. Hii ni trailer. Hata Saddam Hussein wakati Fulani alikuwa rafiki mkuu wa wazungu. Wazungu weshamwona Kagame 'has outlived his usefulness'.
Kama walivyosema wengi, kama ana akili angefanya counter-attack kwa kuleta upatanishi na demokrasia. Ah, lakni power blinds. Sidhani atafanya hiyo. Tungojee his downfall. Kitu kitakachomnunulia wakati kidogo ni huo urais. Akiacha leo tu, kesho utamkuta ICC. Kwa hiyo matokeo....PaKa hatajiuzulu kamwe!
 
I think kulaumu UN na wazungu ni upumbavu. Even Tanzanians knew about Kagame's plan to shoot down presidential plane and the genocide and they kept quiet.
If Kagame could only shutter the genocide ideology and stop infusing fear in his people hap atakuwa salama.
I support Kagame but i dnt support the killings of innocent rwandese either hutu or tutsi.
Kagame need to be the instrumental for peace the icon and grain for the future of rwanda nation.He must understand that he will not finish all his enemies.
Bbc can talk all they want here but no one is perfect. I would do the same if they tried to kill me.

Kagame if you listening. Get rid of genocide ideologies. It will back fire you.
 

We mbona kila siku unaishabikia marekani? hizo ni propaganda za kagame. Bunge lile ni geresha tu. Akiamua hakuna hata mbuge mmoja anayeweza kupinga.
Kila mara unashabikia mareakni marekani... leo unamtaja mbabe Mugabe?? du miujiza.
Mugabe ndo rais bora kuliko wote hapa Africa. Kagame ndo rais boya kuliko wote hapa Afrika. Habari ndo hiyo.
 

Mzee wa sumuuuuuuuu Tema sumu Tema sumuuuuuuuuu. fastafasta fastaaaaaa tema sumu tema sumuuuuuuu
 
BBC ni noma...si hii video kuna kipindi ilikuwa haipatikani tena You tube...wameirudisha tena...lazima Bunge la Rwanda liipige stop BBC kurusha matangazo Rwanda aisee na ikiwezekana You Tube watafuata...

Haiko youtube iko Vimeo mkubwa nyumba kubwa unajua siku siku hizi youtube wana mambo ya kijinga ya kuondoa baadhi ya video kwa maslahi yao
 
Last edited by a moderator:
Taarifa zilizopo ni kwamba baada ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 ambayo yalichukua uhai wa raia wapatao 800,000 wengi wakiwa ni watutsi na wahutu wenye msimamo wa wastani.Kuna mauaji mengine ya kimbari yaliyotendwa na serekali ya Kagame amabayo yaliteketeza maisha ya wahutu wapatao 5,000,000 huu ndio ukweli mchungu ambao Kagame na genge lake la wahuni hawataki dunia ijue lakini tayari watu wenye kufikiri nje ya box wameshajua mikono ya Kagame imejaa damu ndio maana amekuwa mstari wa mbele kumtetea Kenyatta kutoshitakiwa ICC kwakuwa anajua ipo siku hata yeye atatakiwa kujibu mashtaka ya mauaji ya kimbari ya wahutu ndani ya Rwanda na nje ya Rwanda (Congo).

 

Duh, inatisha hiyo. Ndo maana akina Commanche murutongore MUKAMASIMBA Koba mchambawima1 wanashambulia watu humu ovyo ovyo wakidhani ni FDRL, interahamwe.
Mi huwa najiuliza kwanini jamaa wanakuwa na hisia kali namna hiyo? kumbe wanajua kilichofanyika ni kibaya.
Cha ajabu sijasikia hata siku moja humu JF watu wanajitokeza na kusema Mi ni mhutu niko ukimbizini. Sijui wamepotelea wapi?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu JustDoItNow unafikiri ni kwanini Kagame anataka katiba ibadilishwe ili agombee muhula wa tatu ?.Nia ni kuendelea kudhibiti uovo wake usijulikane.


 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…