Finally: BBC speaks the truth

Finally: BBC speaks the truth

jMali
Mkuu hiyo attachment haionekani, kwa hiyo unaonekana kama uko off the rails!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hiyo attachment haionekani, kwa hiyo unaonekana kama uko off the rails!!!

Nadhani ni kwa baadhi ya browsers au labda simu, kwangu iko fresh kabisa, anyway ngoja ni-add na link kabisa.
 
hii ni historia ya waafrika wenyewe.

Umesahau na ile mliyoandikiwa na France...you are just a comedy,to reason/debate na wewe ni sawa na 1940s watu walipojaribu same thing with NAZIs,the only language mnayo deserve ni trial and Prisons
 
Umesahau na ile mliyoandikiwa na France...you are just a comedy,to reason/debate na wewe ni sawa na 1940s watu walipojaribu same thing with NAZIs,the only language mnayo deserve ni trial and Prisons

why you mad tho? waandikie BBC mi nimeileta tu!
 
Toka lini mzungu akaitakia mema afrrika?

Sasa ndiyo shida tuliyo nayo. Tupo tayari kuuawa na mwafrika mwenzetu bila kulalamika, na mzungu akisema tu, basi imekuwa shida.

Inabidi tusome, tufanye utafiti na kupata majibu kuhusu habari hizi badala ya kutoa majibu ya jumla jumla. Kwa kiasi kikubwa naweza kuamini habari hiyo kutokana na wafuasi wa Kagame wa zamani kuuawa huko Afrika Kusini na wengine kutishiwa maisha yao.

Ni juzi juzi tu kulikuwa na habari za Watanzania wanne kufungwa huko South Africa kwa kula njama za kutaka kumuua mmoja wa majenerali wa zamani wa Kagame. Je huo nao ulikuwa ni uzushi wa wazungu?
 
Watalaam naomba mtuwekee video ili niweze kuipakua au namna gani naweza kuidownload?
 
Watalaam naomba mtuwekee video ili niweze kuipakua au namna gani naweza kuidownload?

1. Nenda play store
2. Type badoink video downloader
3. Click install-accept
4. Kisha press link ya hii video, itakupeleka direct kwa browser
5. Right click link or copy URL kisha paste kwa badoink
6. Press go itafunguka
7. Press play, ikifunguka press enlarge itakupa option ya download video, press download
8. Ikimaliza waweza view via video player pia ukashare insta, fb, viber, whatsapp, kik, tango, L, etc

Ukishindwa tupia no yako hapa nikuwhatsapp video hii
 
Sasa ndiyo shida tuliyo nayo. Tupo tayari kuuawa na mwafrika mwenzetu bila kulalamika, na mzungu akisema tu, basi imekuwa shida.

Inabidi tusome, tufanye utafiti na kupata majibu kuhusu habari hizi badala ya kutoa majibu ya jumla jumla. Kwa kiasi kikubwa naweza kuamini habari hiyo kutokana na wafuasi wa Kagame wa zamani kuuawa huko Afrika Kusini na wengine kutishiwa maisha yao.

Ni juzi juzi tu kulikuwa na habari za Watanzania wanne kufungwa huko South Africa kwa kula njama za kutaka kumuua mmoja wa majenerali wa zamani wa Kagame. Je huo nao ulikuwa ni uzushi wa wazungu?

Hao Wazungu waliowaua toka mababu zenu mpaka leo na hadi kesho mmelalamika wapi?

Acheni Kagame ajenge nchi yake! Wanafiki wakubwa komaeni na kwenu!
Hao wazungu unaowaona ndio waleta demokrasia na maendeleo wamefanya nini Iraq na Libya? Au ndio unataka wafanye hivyo Rwanda pia?
Kuweni na akili waAfrika, ukiona mzungu anamu attack kiongozi wa Kiafrika jua ni kwamba kagoma kuwatumikia, KAMWE usidhani eti anawatetea wanyonge! Wangapi wanakufa na vita DRC mbona Kabila hawi criticized hivyo? Hapo CAR je? CCM hapa imeua wangapi kuanzia Mwembechai na hadi operation ujangili na Mtwara juzi? Mbona kimya? Au hao waRwanda kumi na wanaotulizwa rwanda wanathamani kuliko mamia ya wabongo?

THINK!!
The moment an African leader does not serve the interest of the West to their liking ndio mwanzo wa mwisho wa huyo mtu na wanaanza kumuonyesha kuwa ni ruthless dictator.
What kagame is doing is NECESSARY for the stability and development of RWANDA!!
 
Mkuu sasa hivi utaitwa mkabila kwa kugeuza kauli za waafrika wa Rwanda...

Ahahahhahaa! husiogope mkuu tupo pamoja. Hatumchukii kagame kwa uafrka wake, tunamchukia kwa ukabila wake. Ni kiongozi shupavu na mwenye malengo. Hii kitu ya ukabila na kutisha wenzake ndo inanikela.
Fikiria mkuu hapa Bongo kuna kila aina ya wageni, Wanyarwanda wenyewe, wakenya, wakongo ndo kibao etc. lakini mbona sisi tunakaa nao kwa amani?
 
Back
Top Bottom