Endangered JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 922 Reaction score 231 Apr 24, 2012 #1 Habari za shuguli wadau, nina shida ya final cut pro software any recent version, kuna mdau yeyote anaweza nisaidia tafadhali?:smile:
Habari za shuguli wadau, nina shida ya final cut pro software any recent version, kuna mdau yeyote anaweza nisaidia tafadhali?:smile:
Belight Technology JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 583 Reaction score 129 Apr 25, 2012 #2 atumia mac? Nina Adobe premiere pro cs5 ambayo ni zaidi ya final cut ila znafanana kidogo
qq.com JF-Expert Member Joined Jan 9, 2012 Posts 367 Reaction score 123 Apr 25, 2012 #3 final cut ni bonge la software katika editing ila tatizo inatumika kwenye computer za mac pekee
Endangered JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 922 Reaction score 231 Apr 25, 2012 Thread starter #4 Dauphine said: atumia mac? Nina Adobe premiere pro cs5 ambayo ni zaidi ya final cut ila znafanana kidogo Click to expand... Nategemea kuwa na mac muda si mrefu. Mkuu hiyo CS5 ni ya Mac au PC?
Dauphine said: atumia mac? Nina Adobe premiere pro cs5 ambayo ni zaidi ya final cut ila znafanana kidogo Click to expand... Nategemea kuwa na mac muda si mrefu. Mkuu hiyo CS5 ni ya Mac au PC?