ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
- Thread starter
- #81
Kama ulikua kichwani mwangu, kwa huu mchezo wake, akikutana na watu wa counter attack atachezea kipigo tu kama Dortmund walivyomlambisha sakafu juzi.
Tena match yao na Chelsea si ipo karibuni sana.
kaunta inaonekana sio wazuri kabisa..