Final 2013: Audi Cup

Final 2013: Audi Cup

Nadhani wanaweza kubadilika, ila kama ndo hivi Bayern asahau kombe msimu ujao.
 
this linesman make me crazy sasa..
 
Nadhani wanaweza kubadilika, ila kama ndo hivi Bayern asahau kombe msimu ujao.

Hakuna kitu kigumu kwenye soccer kama transition ya mfumo wa uchezaji, na wachezaji wenyewe wengi tayari na mababu, asipokua makini itamcost!
 
Huyu vipi anamlenga kipa, hajui kupiga header au
 
Hakuna kitu kigumu kwenye soccer kama transition ya mfumo wa uchezaji, na wachezaji wenyewe wengi tayari na mababu, asipokua makini itamcost!

Ngoja aje akutane na Mourinho!!!
 
dk 58 bay 0 - 0 city

duu krooos hadi kiatu kimetoboka sio mchezo..
kroos out rafinho in
 
Ngoja aje akutane na Mourinho!!!

Kama ulikua kichwani mwangu, kwa huu mchezo wake, akikutana na watu wa counter attack atachezea kipigo tu kama Dortmund walivyomlambisha sakafu juzi.

Tena match yao na Chelsea si ipo karibuni sana.
 
duu inatia moyo..

dk 61 bay 0 - 1 city
 
Back
Top Bottom