baba wanashambulia hao bayern hatare..
Naona Ac Milan kapata kibonde.
napita tu kwenye hii hoja..
Where z Aguero?
Huyu Jamaa mchokoz sana.
Aguero majeruhi, anaweza akakosa hata match za mwanzo za msimu kwa taarifa za leo
hii gemu ndio kipimo cha kujua kikosi chako..