Final 2013: Audi Cup

Final 2013: Audi Cup

Dk 40 bay 0 - 0 city

boyata booked yellow card
 
anaonekana ni mchezeshaji na sio mkabaji zaidi ila kati wametupoteza sana..

Ni box to box huyo, ila naona anapata shida kidogo kuzoea makazi mapya.
But worry not coz hii ndio strongest squad ya Bayern, nyie kwenye bench mna Yaya, Navas, Dzeko, Rodwell
 
kilalakheri
big team Man-City tupamoja tunacheki game
 
naona city wameonesha uhai hapa

Half time: bay 0 - 0 city
 
Ni box to box huyo, ila naona anapata shida kidogo kuzoea makazi mapya.
But worry not coz hii ndio strongest squad ya Bayern, nyie kwenye bench mna Yaya, Navas, Dzeko, Rodwell

hapo mandzuc hajaingia huyu ndio ananipa mawazo ila wao wameweka kikosi kamili halafu dizaini wameshaona wanatufunga muda wowote ndio maana wanazingua ngoja tuwatupie kidogo gemu itakuwa poa sana..
 
Nacheck game Online hapa. Naona ni Half Time.
 
kipindi cha pili ndio kinaanza hapa navas na yaya wanaingia..
 
Back
Top Bottom