Megawatt B
JF-Expert Member
- Aug 23, 2011
- 259
- 69
Imenibidi nikumbuke filamu hii ya FIMBO YA MNYONGE maarufu YOMBA YOMBA hasa nikiangalia sinema zetu hizi sasa za wanaojiita 'mastaa' wa bongo movie. ni sinema ya siku nyigi lakini ilikuwa maarufu sana, je watengenezaji wake wamekufa? hawakuacha urithi? TBC vipi hamuwezi kutukumbusha na vijana wa leo waone mambo ya ukweli yalivyokuwa.