Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Wakufukuze tu, tena ikiwezekana upelekwe mahakama ya kazi kwa vile kuna watu wengi wamekosa huduma yako na kufeli kutokana na utoro wako. Kama ulikua hauna wito ni bora usinge enda ualimu kwa maana inaonekana hiyo kazi unaifanyia kwa dhiki ya ajira tu. Halafu mkikaa vijiweni kazi ni kuwaponda watoto hoo! division 5.
Kweli nyie walimu hamnazo kabisaaa...wewee unasema mwenyewe uliondoka bila ruhusa halafu unakuja humu kuomba ushauri tena na kuwaka faili lako limepotea sijui taifa gani hili...sasa na wewe ndo umeandika nn?sababu ya kuniondoa payrole wanasema utoro ila utoro gani mtu nilienda masomoni? nisisome kisa watoto wapate huduma yangu?
huna akili timamu maana hata nilichoandka sicho ulichochangia..
sasa na wewe ndo umeandika nn?sababu ya kuniondoa payrole wanasema utoro ila utoro gani mtu nilienda masomoni? nisisome kisa watoto wapate huduma yangu?
huna akili timamu maana hata nilichoandka sicho ulichochangia..
Huyu ticha hamna kitu kabisa, eti anaona kaonewa, eti wameniondoa ktk payrole sijui ndio anamaanisha payroll au? Hapo ndoa ametoka kuongeza elimu ila hajitambui je kipindi hicho ajaongeza?Kweli nyie walimu hamnazo kabisaaa...wewee unasema mwenyewe uliondoka bila ruhusa halafu unakuja humu kuomba ushauri tena na kuwaka faili lako limepotea sijui taifa gani hili...
Na lipotee hivyo hivyo lisionekane kwani watu wanaoenda kusoma wanatumia njia kama zako hizo si ndio...!!!
sasa na wewe ndo umeandika nn?sababu ya kuniondoa payrole wanasema utoro ila utoro gani mtu nilienda masomoni? nisisome kisa watoto wapate huduma yangu?
huna akili timamu maana hata nilichoandka sicho ulichochangia..
Huyu ticha hamna kitu kabisa, eti anaona kaonewa, eti wameniondoa ktk payrole sijui ndio anamaanisha payroll au? Hapo ndoa ametoka kuongeza elimu ila hajitambui je kipindi hicho ajaongeza?
Acha utoto Mpwa as if hujawahi kukutana na vitu vya namna hii, ukishakutana na mazingira kama hayo (just for future use) zama mfukoni toa buku mbili au tano mpatie halafu fumba macho, nakuhakikishia kuiyafumbua tu, faili utakua nalo mkononi na limeshasainiwa kila kitu......usiwe mgumu, hawa watu wana njaa sana. Ukienda hospital, polisi na kwenye maofisi mengine ya serikali, omba au tafuta chochote utapata hata mhuri wa Rais na signature yake utapata ONLY that usiwe mgumu............
Sishabikiii rushwa lakini ndio nchi yetu pendwa ilipofikia, ukijifanya mgumu una-lost. Take care
Unafahamu maana ya utoro????? Hujawahi kusikia mwanafunzi aliondoka shule akarudi kwao akafukuzwa kwa kesi ya utoro???? wewe ni wakufukuzwa tu, watu wazembe wazembe kama wewe ndio mnafanya taifa hili lina yumba, nitalifatilia suala.LAZIMA NIKUSHUGHULIKIE
Duh! Wewe mwalimu, enzi zile tunasoma tungekuita mwl Payrole. Ukiwa kama mwalimu yaani unashindwa kweli kujibu watu vizuri! maana kila mtego unaingia mzima mzima. Nyie ndio mnadhalilisha wahaya kwa kuonekana kazi mnapeana kiukoo, kwa kweli naona unawaharibia hata hao walikusaidia kwa kuleta majigambo yako.Hilo file limepotea tangu february hadi leo na payroll nazungushwa kisa file hakuna.sasa wewe unaleta porojo hata hujui undani wa ishu.kakojoe ulale bwana.
Ulikwenda kusoma wewe au ulikimbia mazingira magumu hii nayo si ni post yako ?
https://www.jamiiforums.com/nafasi-...dishwa-payroll-ya-serikali-4.html#post9611188