Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,024
- 72,344
Ni msanii bora wa bongo movie kama xaomi.
Mi simjui
Ni msanii bora wa bongo movie kama xaomi.
Ha! ha!ha! ha! ha! leo nipo kikaoni nafuatilia kwa mara ya kwanza. Mpaka sasa kilicho nivutia ni hawa wanandoa wanao taka kuachana. Nadhani bado mapema vituko vitafuata.
Et kisa walipanga kua kila wakitaka kulala wakumbatiane kwanza lakin imekua tofautii
Halaf huyo mwingine et anamwambia huyo mshauri kua anavyowashauri warudiane ye atapata mume wapii hhhhaaa
Ngoja tuangalie itakavyo shika kasi. Ila bado ipo cold kidogo!
Aisee... TBC hii hii au kuna nyingine? Ina maana jamaa huwa wanaoneshaga filamu mzuri hawa? Hebu naomba ratiba yao nijaribu angalau kwa wiki moja ingawaje kufuatilia vipindi vya TBC ni full headache... hawakawi ku-suspend kipindi kwa sababu tu kuna shughuli hii ama ile! I am serious, naomba muda wa hiyo series yao.Kidogo imeanza kunoga yule dogo bonge chizi kanichekesha sana
Hiyo ya awali naona watu wanaisifia sana... inaitwaje ili niitafute online?Hatujaizoea nimemmis shaumi na mmewe natamani ingeendelea ilee
Aisee... TBC hii hii au kuna nyingine? Ina maana jamaa huwa wanaoneshaga filamu mzuri hawa? Hebu naomba ratiba yao nijaribu angalau kwa wiki moja ingawaje kufuatilia vipindi vya TBC ni full headache... hawakawi ku-suspend kipindi kwa sababu tu kuna shughuli hii ama ile! I am serious, naomba muda wa hiyo series yao.

Thanks for the info... nimeiona, sema mnh! File kubwa ile mbaya... itabidi nii-downloand kwa mafungu...!Iliyopita ilikua inaitwa Jin Tai Lang...ilikuwa nzuri sana mimi huwa navizia muda wa tamthilia tu...nitaangalia nini TBC?
Jin Tai Lang ni ya kichina au kibongo?
Ni ya kichina ila wabongo wameweka lugha ya kiswahiliii wametafsiriii
OK, poa sana.
Tunajimix kotekote kama enzi za "Non Alignment Movement".
Huku Obama Drive, huku movie za kichina.
Usishangae na za Kirusi zikija.
Baba Putin anashuka.
Halafu unashushia na Nollywood kama si Bollywood.
Bongo si mchezo.