Filamu hii inaitwaje?

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,672
68,644
Habari wadau wa JF,
Kuna filamu niliiona zamani sana miaka ya 2000 hv na nikaipenda sasa nimeikumbuka nataka ni-idownload sema siijui tittle yake.

Inahusu:
Askari mmoja hiv alikua lazy sana wakati wa mafunzo ya kijeshi,mda mwingi wakati wa mazoezi yeye ni wa mwisho akawa anateswa sana na mkuu wao,kuna baadhi ya maneno anasema "yes sir" mwishoni iliishia alimuua kiongozi wake chooni na yeye akajilipua,ina tittle kama ya soldier hv ebu wadau wa ma-movie nisaidieni
 
Sasa King kuna movie ngapi ambazo watu wanasema "Yes Sir" jamani? Embu kumbuka kitu kingine, hata jina la m(wa)shiriki.
 
Haaaa jimama yes sir alikua anaisema kama mara elfu hii,tittle inaanzia na soldier hv

Mmmhhh nachanganyikiwa Jana nimereply kwa Jimama ,Leo naona Lizzy,imekaaje hapa?
 
Na mimi natafuta movie moja ambayo ndani kuna m dada aliyevaa sketi!!!!!

Mkuu mbona nimeweka clues nyingi tu;
1.Ni ya kijeshi
2.Mwisho jamaa anakuja kumuua kiongozi wake na yeye kujiua
3.Neno yes sir limetumika zaidi ya elfu
 
born to kill...jamaa yupo depo anateseka sana na afande wake!

Daa thanx man maana we mtu wa pili unasema hivyo na huo ufafanuzi wako ni kweli wapo depo na jamaa anateseka sana ngoja niitafute kwa jina hilo
 
daa thanx man maana we mtu wa pili unasema hivyo na huo ufafanuzi wako ni kweli wapo depo na jamaa anateseka sana ngoja niitafute kwa jina hilo

haiitwi born 2 kill inaitwa full metal jacket jamaa anamuua kiongozi wa depo chooni akiwa na mashine cjui aka ile au m16 ile nahisi kisha anajiua
 
Thanks wakuu nimesearch tittle ya born to kill na full metal jacket,movie yenyewe nimeipata ni FULL METAL JACKET.
 
haiitwi born 2 kill inaitwa full metal jacket jamaa anamuua kiongozi wa depo chooni akiwa na mashine cjui aka ile au m16 ile nahisi kisha anajiua

Yeah mkuu bibliography kweli unaendana na jina lako ni kweli nimesearch wikipedia ni kweli full metal jacket,thanx a lot ngoja nifanye mpango wa kuishusha
 
Habari wadau wa JF,
Kuna filamu niliiona zamani sana miaka ya 2000 hv na nikaipenda sasa nimeikumbuka nataka ni-idownload sema siijui tittle yake.

Inahusu:
Askari mmoja hiv alikua lazy sana wakati wa mafunzo ya kijeshi,mda mwingi wakati wa mazoezi yeye ni wa mwisho akawa anateswa sana na mkuu wao,kuna baadhi ya maneno anasema "yes sir" mwishoni iliishia alimuua kiongozi wake chooni na yeye akajilipua,ina tittle kama ya soldier hv ebu wadau wa ma-movie nisaidieni

Naona wadau tayari wameshakufahamisha jina lake, Full Metal Jacket

Full Metal Jacket (1987) - IMDb

Mimi mwenyewe nilikuwa naipenda sana mpaka ringing tones kwenye simu ziliweka za sinema hiyo

Audio files unaweza kuzi-download hapa: Full Metal Jacket Sounds
 
Habari wadau!
Nimependa sana mlivyompa ushirikiano ndugu King... nami nina ombi kama la huyo bwana; kuna filamu moja ni yakidini inazungumzia siku za mwisho zitakavyokuwa... ni nzuri kwa hakika! maudhui mazima ni kwamba siku za mwisho watu watanyakuliwa na wengine wataachwa..Moja ya sehemu inaonyesha padri/mchungaji aliyekuwa anawahubiria watu kuhusu ufalme wa mbinguni naye ameacha, nyingine ni sehemu ambapo dada aliyeachwa inabidi apewe namba za utambulisho wa utawala mpya (nahisi wa shetani). Yule dada alikutana na mahangaiko mengi sana.
Wadau mwenye kujua title yake anasaidie maana nejaribu kuulizia maduka ya cd nimekosa. Mimi niliiona mwaka 1995 kanisani!
 
Back
Top Bottom