Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,929
- 2,567
...1. simba na yanga a.k.a mtani jembe
2. chadema na zito a.k.a wasaliti hood
3. nape,kinana na mizigo a.k.a baada ya kuchaguliwa tena kuwa mawaziri part two ikawa "tulikuwa tunawatania tu walikuwa sio mizigo teh teh"..
4.aaaagh bhana nyingine ntazilete baadae,ila hizi zilitisha kwenye "movie theatre" za bongo.....