View attachment 3100109
As great thinkers naimani wabobezi wa sera za kiuchumi watanisaidia mimi mwanakijiji kuelewa.
-Mara nyingi kwa bidhaa kama hii kuagizwa kutoka nje ya nchi !!! Ipo athari yeyote katika uchumi wetu? Kama ndio hatua zipi zichukuliwe?
-Mwanakijiji kwa umri nilionao sina hakika kama numewahi kukuta bidhaa ya aina hiyo ikiwa na utambulisho wa utengenezwaji wa Ndani ya nchi, Swali kwa wabobezi wa uchumi ni kwamba tumeshindwa kuzalisha, au sera haziruhusu!!