Fikra na Mtazamo wa Andrew Kambarage Nyerere Kuhusu Itikadi za CHADEMA

Majuha wa magamba ndivyo walivyo. Wamiliki wa JF wasipokuwa makini huu ukumbi utadorora kutokana na kuruhusu majuha wa magamba kuuteka nyara ukumbi wa JF na kuandika -----/utumbo wao.

Hivi wewe kwa akili yako unadhani JF ni mali ya Chadema.
 
dah nadhani hajasoma maana anavyojibu kama mtoto mdogo au mlimhoji akiwa Bar?????/
 
Kwa ujumla jamaa anaelekea yupo simple sana. Bila shaka hapa yupo na wife wake
View attachment 82049

Huyo ni Mama Lulu. She is an Apache Indian. Ni mke wa retired Aviator wa United States Air Force. Nipo New Mexico,katika mji wa Alamogordo. Hapo kulikuwa na anniversary inahusiana na kuangushwa kwa atomic bombs Hiroshima na Nagasaki,mabomu ambayo yalitengenezwa New Mexico. Hii ni 2009,nilikwenda Marekani kwa hisani ya Asha Rose,alikuwa UN.
 
Hivi wewe kwa akili yako unadhani JF ni mali ya Chadema.

Acha ujuha wewe, wapi nilipoandika kwamba CDM inamiliki JF? Acha kuandika ----- wako wa kimagambamagamba na majuha wenzio wa magamba.
 
Mkuu haya yasije yakawa mabo ya kuhadithiwa tu - hebu tupe mfano wa kuonyesha kwamba ndugu Andrew hana uwezo wowote katika nyanja mbali mbali, alafu tuthibitishie ukaribu wako naye, maana aipendezi kuanza kufanya analysis za mtu ambaye humjui vizuri i.e ujawahi kukutana/kuishi naye kwa karibu.

Mwambie huyo aliyeanzisha uzi huu atuthibitishie uwezo wake na kisha aeleze ukaribu wake na mhusika.
 
Hakuna mtu aliyekusuma na kudumbukia ndani ya maji ya JF. Ukiona maji yameanza kufika shingoni, kuna majukwaa mengi tu ndani ya JF. Kama ni utumbo, kwa nini unajibu utumbo kama siyo na wewe kuleta utumbo.

Offcourse, ukumbi lazima utadorora kwa kuwa na watu kama ninyi mnaofikiria mawazo yenu ni vipusa vya dhamani kumbe a dog's dinner.

If you don't like, just jog on kwenye mada zinazokupendezesha or kick wall and die. This is JF. People Dare To Talk Openly.

We juha kweli, ulipoona motto wa JF ni "Where we dare to talk openly" ukadhani na ----- wako unaoshusha hadhi ya JF unastahili kuwekwa hapa. Endeleeni kuharibu tu hii forum muda si mrefu ujao kama wamiliki hawakuchukua hatua za kupambana nanyi watabaki majuha tu katika ukumbi huu.
 
Why are you crying baby..........This is not the place................hatuna mbeleko ya kukubebea...............Nenda kaombe uwe Mods ili utimize matakwa yako, siyo kuja hapa na mitazamo yako ukitaka kila mmoja aikumbatie...........uliikuta JF na utaiacha..............JF haikuja kwa mtazamo wako na kama mtazamo wako ungekuwa GOLD, basi kwa nini usianzishe mtandao wako.............By the way, Ingia kwenye jukwaa la jokes upate kile unachohitaji........Achana na mimi.
 
anataka ukuu wa wilaya......

andrew nyerere ile azima yako ya kugombea uraisi iliishia wapi?

Huyu mdudu katika avatar yako amefanya niisafishe screen ya computer yangu.
Hii weekend iliyopita computer yangu iliharibika,I could not access some documents,especially the PDF documents,hiyo labda imesababisha nitume posting ambazo ni poor quality.
Kuhusu kutaka kuwa Rais,it has no meaning really. Wakati ule,Dec. 2009,nilikuwa Seal Beach,California,I had no intetion of coming back. Lakini ikabidi nirudi,kwa sababu ambazo nilifikiria ni hila za watu. Kwa hiyo,in a rather dim-witted manner,nikawa na haya mawazo kwamba nitasema nataka kugombea Urais,just to make trouble for certain people,ili baadaye niweze kusafiri kwa amani. This is just to explain it briefly,'my reasoning' at that time.
Lakini ukifikiria jana Spika ameliahirisha Bunge ili wabunge wasitwangane masumbwi,can I be blamed for imagining that I can be president?
 
Huyu mdudu katika avatar yako amefanys niisafishe screen ya computer yangu.

Lawmakers-scuffle-during--024.jpg

hapa ni Ukraine
 
Acha ujuha wewe, wapi nilipoandika kwamba CDM inamiliki JF? Acha kuandika ----- wako wa kimagambamagamba na majuha wenzio wa magamba.

Wewe acha kulia lia kama mtoto wa kike hapa JF hakuna mbeleko. Ulivyokuwa unawaambia wamiliki wa JF wawe makini JF inatekwa na magamba inapoteza hadhi ulikuwa unamaanisha nini.

Wewe kwako kila mtu juha kwanza wewe nani anakujua humu JF unajaza server tu. Nyie ndiyo mkiambie mchangie JF mnakimbia lakini ndiyo mabingwa wa kukosoa.

Kwa akili yako ilivyokuwa fupi mtu hakiwa Chadema ndiyo ana upeo. Vipi unataka kuwa mod.
 
Why are you crying baby..........This is not the place................hatuna mbeleko ya kukubebea...............Nenda kaombe uwe Mods ili utimize matakwa yako, siyo kuja hapa na mitazamo yako ukitaka kila mmoja aikumbatie...........uliikuta JF na utaiacha..............JF haikuja kwa mtazamo wako na kama mtazamo wako ungekuwa GOLD, basi kwa nini usianzishe mtandao wako.............By the way, Ingia kwenye jukwaa la jokes upate kile unachohitaji........Achana na mimi.

Huyu dogo anadhani JF kama nyumbani kwao anaweza kupanga chochote.
 
Kuna watu hapa wakituona tuko kimya, hawajui kama maisha yetu yanaongozwa na ustaarabu wa kukubali kutokubaliana.

Kuna wengine kwa ujinga wao, wanafikiri hiki ni kijiwe cha watu wenye itikadi moja, mpaka wanafikiri hata Mods ndio wao.

Kijiwe kikipata moto, wanaanza kulalamika kwa Mods, wanasahau kama maji wameyavulia nguo na hawana budi wayaoge.
 
Majuha wa magamba ndivyo walivyo. Wamiliki wa JF wasipokuwa makini huu ukumbi utadorora kutokana na kuruhusu majuha wa magamba kuuteka nyara ukumbi wa JF na kuandika -----/utumbo wao.

Wewe umekuja juzi tu JF unataka kupangia watu hakuna kipindi JF inapendwa kama hiki watu wanachanganya fikra.
 
dah nadhani hajasoma maana anavyojibu kama mtoto mdogo au mlimhoji akiwa Bar?????/

kwa hiyo wote wasioisapoti cdm ni vichaa au walevi???vichaa dizaini yako ndo mnaiharibia cdm kwa majibu yenu kama mazuzu.tunahitaji siasa za kistaarabu,tuonyeshe na kushawishi kuaminiwa na jamii.sasa kuna walevi hapa wanakuja wanauliza cdm kikishinda dola tuwafanyeje ccm?anakuja chizi mwingine anajibu tuifutie usajili!!!waungwana wanajiuliza hapo hamjakamata dola mkikamata si mtatupangia hadi siku za kulala na wake zetu???au mnatumika kuiharibia cdm??tunaweza dhani mwenzetu kumbe umetumwa kuharibu taswira ya cdm.
 
Huyu mdudu katika avatar yako amefanya niisafishe screen ya computer yangu.
Hii weekend iliyopita computer yangu iliharibika,I could not access some documents,especially the PDF documents,hiyo labda imesababisha nitume posting ambazo ni poor quality.
Kuhusu kutaka kuwa Rais,it has no meaning really. Wakati ule,Dec. 2009,nilikuwa Seal Beach,California,I had no intetion of coming back. Lakini ikabidi nirudi,kwa sababu ambazo nilifikiria ni hila za watu. Kwa hiyo,in a rather dim-witted manner,nikawa na haya mawazo kwamba nitasema nataka kugombea Urais,just to make trouble for certain people,ili baadaye niweze kusafiri kwa amani. This is just to explain it briefly,'my reasoning' at that time.
Lakini ukifikiria jana Spika ameliahirisha Bunge ili wabunge wasitwangane masumbwi,can I be blamed for imagining that I can be president?
umesharudi huko mexico?
kwenye familia yenu kuna mtu anatumia hii makitu hapa chini?
 
Picha yake tu inatoa tafsiri nyingi,nakumbuka in one of the speeches Nyerere aliwahi kukiri kuwa Msuba umeathiri sana some of his family members,nakumbuka niliwahi kusoma na mmoja wao shule Ihungo miaka ya 1983 alikuwa anapuliza msuba kama ana akili nzuri.
 
Back
Top Bottom