Bado hajatekwa😝😝😝Unasemaje?
✌️✌️✌️✌️Mbadoo
Masoud hayo maji ya kijani hakuishi mamba huko?Unasemaje?
Ithibati ni one thing halafu Mungu alichoweka ndani ya KP hakuna cha ithibati Wala ithikigae itakayokiondoaKP kaliwa kichwa na bosi ya Ithibati
KP namkubali sana aisee. Yaani huwa naona anamfuatilia kwa karibu sana Robert Mwampembwa aliyehamia Kenya.Ithibati ni one thing halafu Mungu alichoweka ndani ya KP hakuna cha ithibati Wala ithikigae itakayokiondoa
Namfahamu personal... Yuko vizuri mtu poa sana ana akili kubwaKP namkubali sana aisee. Yaani huwa naona anamfuatilia kwa karibu sana Robert Mwampembwa aliyehamia Kenya.