Fikiria uko hatarini, Unamwita nani kati ya Jason Statham, James Bond, Denzel Washington, Liam Neeson, Rambo au John Wick?

Fikiria uko hatarini, Unamwita nani kati ya Jason Statham, James Bond, Denzel Washington, Liam Neeso

  • Jason Statham

  • Denzel Washington

  • Silvester Stallon (Rambo)

  • Liam Neeson

  • James Bond

  • John Wick


Results are only viewable after voting.
Unaamka tu unakutana na baba mwenye nyumba anataka kodi, hela ya umeme + pesa x wanapiga simu urudishe mkopo wao... Sijui utamuita nani Kati yao. 🤔🤔🤔
 
1714835473909.png
 
Mimi ningekwenda na Anord Schwarzenegger...
Huyu jamaa mwamba sana..

""If you put the gun down"" i won't kill you.
Alisikika Anord Schwarzenegger akiwaambiya jamaa waliokuwa wamemkamata huku mtutu wa bunduki ukielekezwa usoni kwake.,
 
Back
Top Bottom