Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Hayo ya CUF mbona ni cha mtoto, je ya Chama Cha Mafisadi unayajua? Mathalani unajua Mwenyekiti wa hicho chama ndiye Kiongozi Mkuu wa serikali na Katiba kwake si lolote si chochote. Anaweza akajichotea kiasi chochote kile kutoka hazina na kama vile hiyo haitoshi, maamuzi yake katika matumizi ya hizo kodi za Watanzania hayawezi kuhojiwa na chombo chochote ndani ya taifa hili.CHADEMA ndio CUF yenyewe, kwa sababu huwezi kusatenganisha chini ya UKAWA
Kangi anachapa kule apamuhusuOK kesi ya Kangi lugola vipi. Tulitangaziwa upelelezi umekamilika kwamba kuna elements za uhujumu uchumi baada ya hapo kimya
TAKUKURU hii ya sasa ni kitengo cha ccm , si kitengo cha nchi
Hakika haya anayotenda yatafukuliwa , Nakuhakikishia huyu atakuwa rais wa kwanza Tanzania kufungwa kwa aibu , tuombe sana uzimaHayo ya CUF mbona ni cha mtoto, je ya Chama Cha Mafisadi unayajua? Mathalani unajua Mwenyekiti wa hicho chama ndiye Kiongozi Mkuu wa serikali na Katiba kwake si lolote si chochote. Anaweza akajichotea kiasi chochote kile kutoka hazina na kama vile hiyo haitoshi, maamuzi yake katika matumizi ya hizo kodi za Watanzania hayawezi kuhojiwa na chombo chochote ndani ya taifa hili.
Mtakuwa mnaionea bure CUF, hawajawahi kuvunja ghala, hazina wala Benki Kuu na hivyo kama walipata hela walipewa na wanaotakiwa kujibu ni waliotoa ruhusa wapewe. Kwa bahati mbaya mwenye uwezo wa kubariki ruhusa ya aina hiyo ni moja tu, hakuna mwingine. The buck stops with one man and one man alone, period.
Mamlaka Zitaingia Kote Kote Huko
Wamebaki wana pambana na Mbowe ambae alipewa hati safi na huyu alie ongea haya maneno juu ya CUF wabeba mbeleko ya Ccm.Nimebaki mdomo wazi, sina hata cha kusema.
Yaani haya yanafanyika katika awamu ya 5. Maana hii ni awamu ya hapa KAZI TU. Siamini.
Suala lipo kwa Dpp. Lazima waliohusika wachukuliwe hatua.OK kesi ya Kangi lugola vipi. Tulitangaziwa upelelezi umekamilika kwamba kuna elements za uhujumu uchumi baada ya hapo kimya
Hizo ni audit queries subirini CAG atoe majibu. Ishu ya mboe ni kuikopesha Chadema na kujilipa mabilioni.Wamebaki wana pambana na Mbowe ambae alipewa hati safi na huyu alie ongea haya maneno juu ya CUF wabeba mbeleko ya Ccm.
Hujasikia hata jana wana sema Lwakatare ni turufu ya kupambana na Chadema na sio Ccm??