deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 931
- 503
sijaamin na bado siamin kama jana kwenye mdahalo wa maliasil zetu pale udsm mh. muhongo kaweza kucheza na akili zetu kwa kutumia slides tu.. na palepale wahudhuriaj weng wakabadiri msimamo kwa kumsifia tena, mbaya zaid wakafika mbali eti anafanya kaz kwa figure n fact hv ni kweli zile slides zinatufanya kuamin ndio fact? nilitegemea kama ni fact bas ingeanzia kwenye kauli yake juu ya mgao wa umeme kuwa ndoto ila pale pale alipo ukakatika kama mara 3, ila kitu cha kushangaza tumeonywesha slides tu pale na maneno ya majungu mengi sana akil zetu zikahamia kumsifia na kusahau hata mgao wa umeme na bado tunasema tupo kupigania maliasil ya nchi yetu.. mi naweza mpa sifa prof muhongo kwa kuweza kudanganya umati wote ule kwa kutumia slide na watu wakatoka wanamsifia sana.. watu wamesahau maumivu ya wawekezaji hapa nchni, mgao wa umeme, kwa ushawish wa slide za computer tu tena kwa mudavwa nusu saa ambao muhongo alitumia kuwashawish.. najua si wote walimuamin ila nilishangaa kuona umati kama ule umedanganywa kwa slide tu na imenifanya kuamin watz bado tunakaz ya ziada kuelimishana... haya tusubiri slide zetu zitutatulie matatzo sasa.