Fighter jet zimenishtua

Jindal Singh

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
1,857
1,538
Salaam wakuu,

Hivi punde zimepita fighter jet mbili zikitoka kusini mwa Dar es salaam kwa speed ya kama km 1500/hrs kuelekea kaskazini mwa DSM.

Nasema zimenistua kwasababu speed iliyopita nayo ni ya hatari ukitofautisha na miaka yote. Kuna siku hivi karibuni au ni training?
 
Salaam Wakuu...

Hivi punde zimepita fighter jet mbili zikitoka kusini mwa Dar es salaam kwa speed ya kama km 1500/hrs kuelekea kaskazini mwa DSM. Nasema zimenistua kwa sababu speed iliyopita nayo ni ya hatari ukitofautisha na miaka yote. Kuna sikuuu hivi karibuni au ni training?
Sikukuu ya kura za marudio Zenj, we hujui?......!!!!
 
Salaam Wakuu...

Hivi punde zimepita fighter jet mbili zikitoka kusini mwa Dar es salaam kwa speed ya kama km 1500/hrs kuelekea kaskazini mwa DSM. Nasema zimenistua kwa sababu speed iliyopita nayo ni ya hatari ukitofautisha na miaka yote. Kuna sikuuu hivi karibuni au ni training?

kwenye red hapo!! ulisoma HGE - House Girl Education
 
IPO SIKU UKIMUONA MWANAJESHI MTAANI KWAKO UTASEMA
"NIMESHTUKA KUMUONA HUYU MWANAJESHI MTAANI KWANGU VIPI KUNA OPERATION AU TRAINING"
 
Back
Top Bottom