Kwa Africa Ni timu 4 tu zinaenda zilizofanya vizuri ndani ya miaka mitano,Hizo yanga lazima azipate mapema kabla ya wale wa msimbazi
Vuta Picha leo hii Yanga au Simba kavuta hicho kiasi, kuna shindani tena hapo ?Eleza inauwau vipi soka la Africa
Eleza wakipewa bilioni 5 inakuzaje ushindani?Vuta Picha leo hii Yanga au Simba kavuta hicho kiasi, kuna shindani tena hapo ?
Ndiyo maana kila njia ilifanyika ili goli la Aziz Ki lisikubaliwe ili Mamemlodi waingine kwenye bwawa hilo la mihela ya FIFA.Hasa hapa kwetu Afrika kwenye timu ambazo hazifiki hata asilimia kumi ya hicho kiasi
Unazipa timu bilioni 130 kwa kushiriki kombe la mwezi, inakuwa ngumu sana kwa timu zenye bajeti za bilioni 8 kushindana na hao wanaopewa mizigo mizito.
Vuta Picha leo hii Yanga au Simba kavuta hicho kiasi, kuna shindani tena hapo ?
Hata picha haivutikiVuta Picha leo hii Yanga au Simba kavuta hicho kiasi, kuna shindani tena hapo ?
Kama refa alikuwa amepanga kuwabeba Mamelodi angewapa penalti kwa Mamelodi, Memelodi wenyewe wamefungwa na Esperance goli lenye utata wa offside, kama kuna njama za kuwabeba hilo goli lingekataliwa..Alijitahidi kuwa fair ila mistakes huwa zinatokeaNdiyo maana kila njia ilifanyika ili goli la Aziz Ki lisikubaliwe ili Mamemlodi waingine kwenye bwawa hilo la mihela ya FIFA.
bajeti ya ahly ni dola milion 100+ kwa mwaka!Hasa hapa kwetu Afrika kwenye timu ambazo hazifiki hata asilimia kumi ya hicho kiasi
Unazipa timu bilioni 130 kwa kushiriki kombe la mwezi, inakuwa ngumu sana kwa timu zenye bajeti za bilioni 8 kushindana na hao wanaopewa mizigo mizito.
Vuta Picha leo hii Yanga au Simba kavuta hicho kiasi, kuna shindani tena hapo?
Naona Azam na Yanga wanapambana kutumia hiyo mianya walau ila bado saaanaabajeti ya ahly ni dola milion 100+ kwa mwaka!
hizo dola mil 50 wala haziwafanyi wao kuwa bora zaidi kutuzidi,
afrika hii timu zijitahidi kufanya scouting, wachezaji wazuri ni wengi sana!
simba na yanga ingekua zinajiendesha kisasa zina uwezo wa kutengeneza mapato zaidi ya 20b kwa mwaka, kiasi ambacho kinatosha kuendesha timu na ikawa na ushindani........
1. kadi za wanachama
2. bidhaa za timu (jezi, skafu, kalenda, kanga, makoti, vyombo vya vyakula vyenye logo zao, etc...... hapa ndio pana pesa ndefu zaidi)
3. gate collection (hapa wanatakiwa kukodisha uwanja, ila wavune vizuri mapato through corporates, migahawa, viingilio, majukwaa unayauza kwa makampuni yajitangaze n.k)
4. media
5. ...
6....
7....
katika nchi kama hii ambayo wapenda mpira ni wengi, ni rahisi sana kuwageuza pesa!
Kama refa alikuwa amepanga kuwabeba Mamelodi angewapa penalti kwa Mamelodi, Memelodi wenyewe wamefungwa na Esperance goli lenye utata wa offside, kama kuna njama za kuwabeba hilo goli lingekataliwa..Alijitahidi kuwa fair ila mistakes huwa zinatokea
Una makengeza wewe lile goli lina utata gani?Kama refa alikuwa amepanga kuwabeba Mamelodi angewapa penalti kwa Mamelodi, Memelodi wenyewe wamefungwa na Esperance goli lenye utata wa offside, kama kuna njama za kuwabeba hilo goli lingekataliwa..Alijitahidi kuwa fair ila mistakes huwa zinatokea
Una makengeza wewe lile goli lina utata gani?
Aziz Ki hakufunga goli likakataliwa? Jitihada zilifanyika swali Lomalisa spate red card aibu ukala kubwaKama refa alikuwa amepanga kuwabeba Mamelodi angewapa penalti kwa Mamelodi, Memelodi wenyewe wamefungwa na Esperance goli lenye utata wa offside, kama kuna njama za kuwabeba hilo goli lingekataliwa..Alijitahidi kuwa fair ila mistakes huwa zinatokea
Mistake kama hizo zinatokea kwenye soka, nyie mnachukulia ni njamaAziz Ki hakufunga goli likakataliwa? Jitihada zilifanyika swali Lomalisa spate red card aibu ukala kubwa
Yeah!...mpira wa Sasa umevamiwa na mabwanyenye..Hasa hapa kwetu Afrika kwenye timu ambazo hazifiki hata asilimia kumi ya hicho kiasi
Unazipa timu bilioni 130 kwa kushiriki kombe la mwezi, inakuwa ngumu sana kwa timu zenye bajeti za bilioni 8 kushindana na hao wanaopewa mizigo mizito.
Vuta Picha leo hii Yanga au Simba kavuta hicho kiasi, kuna ushindani tena hapo?
Bingwa wa CAF champions league ana tiketi ya moja kwa moja bila kujali ranks.. yule refa alitufanyia umafia sana kule south afrika, timu zilizobaki semis zote tunazimudu, tulikua tunaenda kukipiga na wakina man city.Kwa Africa Ni timu 4 tu zinaenda zilizofanya vizuri ndani ya miaka mitano,
Simba hayumo lakini anashika namba 7 kashaingia robo fainali mara nyingi miaka mitano iliyopita,
Yanga yupo nje ya top 10 kaanza kupata mafanikio mwaka jana