Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 771
- 1,960
Usisahau Urusi iliivamia Ukraine.Mpumbavu sana hilo jamaa walahi
Lina uwa watu wake kama kuku!
Amani ianze kwa yeye kupatana na Mwamba Putin au aondoke Ukrain awaachie wana nchi nchi yao maana yeye sio Ukrainian!
Bloody fool
Anaua vipi watu wake wakati yeye ndio mhangaMpumbavu sana hilo jamaa walahi. Lina uwa watu wake kama kuku!
Amani ianze kwa yeye kupatana na Mwamba Putin au aondoke Ukrain awaachie wana nchi nchi yao maana yeye sio Ukrainian! Bloody fool
Ulitaka afanye nini ?Zelensk alikaa kimya wakati wakongomani huko wakiuwawa
Alikaa kimya sudani kukiwa kumechafuka
Alikaa kimya wakati iraq na nchi nyinginezo zikivamiwa
Nchi yake anataka ipewe special attention ili iweje?
Alambe matapishi yake mwrnyewe. Nani aliyemtuma kujiunga na nato kinyume cha makubaliano?Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) linadaiwa kuwa limekataa ombi la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kutaka kuhutubia kabla ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Dunia kati ya Argentina na Ufaransa siku ya Jumapili kuchezwa...
Apaze sauti na kuwashauri washirika wake kama usa kuacha kuvamia nchi za watuUlitaka afanye nini ?
Mkataba wa Minsk upo wazi,acha aendelee kuukanyaga.Anaua vipi watu wake wakati yeye ndio mhanga
Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) linadaiwa kuwa limekataa ombi la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kutaka kuhutubia kabla ya mchezo...
Russia ilichofanya ni pre-emptive strike..Usisahau Urusi iliivamia Ukraine.