Mess ana Tuzo tatu za mchongo, Tangu walipo vurunda 2010 Dunia ilifahamu ni Tuzo za kibiashara zaidi kuliko ushindani halisi.
Kwasasa Mess ata akifikisha Tuzo 10 za mchezaji Bora wa Dunia malalamiko yamepungua kwakua watu Sasa wame elewa kua ni mambo ya mchongo zaidi kuliko uhalisia.