Fifa & Pierre Nkurunzinza

Fifa & Pierre Nkurunzinza

ulaya12

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
834
Reaction score
909
Kutokana na lile tukio lililotokea nchini Burundi miezi michache iliyopita la wachezaji waliofungwa jela baada ya kumchezea rafu Rais wa nchi hiyo,sijasikia Shirikisho la mpira wa miguu duniani Fifa kutoa tamko lolote kuhusu tukio hilo.hapa naomba niulize je Fifa hili swala watalishughulikia lini ilhali walishatoa mwongozo kuwa maswala yoyote yahusuyo mpira wa miguu hayatakiwi kupelekwa mahakamani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom