FIFA first XI ni spain tupu!why?

FIFA first XI ni spain tupu!why?

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,917
nimeona list ya world fifa players,ni wachezaji wa timu za spain pekee!jee uk,italy,german,france hakuna wachezaji?
 
wewe ungemuweka nani badala ya nani
 
Ashley Cole instead of Marcello, Philip Lahm badala ya Alves, Chiellini badala ya Pique

Kwahio na wewe ungechagua 8 from spain ? by the way umeangalia opta index uka-compare effects za hawa wachezaji kwa msimu uliopita pass completion, assists, tackles n.k?

By the way hapo juu mtu aliesema ni Blatter ndio anachagua amekosea wanaochagua ni proffessional football players around the world
 
Sio mimi niliyemmention Blatter Mkuu

Msimu uliopita Pique alicheza game ngapi au alikua dropped for most of the games kwa sababu ya kiwango chake kushuka? na maisha nje ya uwanja kumuuzi boss.
Alves ametumia muda mwingi msimu uliopita akiwa majeruhi.
Sihitaji hizo so called "opta index"
kujua kwamba Ashley Cole is more of a defender than Marcello in fact he is a Champions League winner. Na pia nimesikitika kwa wachezaj kama Andrea Pirlo kukosekana kwenye hiyo list na zile beki tatu za Juve, Bazziagri, Bonuchi na Chiellin, hata mmoja jaman? They were outstanding for their club and country throughout the season
 
Well football is a game of opinions na zaidi ya proffessional footballers elfu 50 wamechagua hao binafsi naona Ashley Cole tangia amekwenda Chelsea ni just average Pirlo ndio ni mtaalamu lakini maybe league anayocheza haina exposure kama wenzake na ni debatable kama ni zaidi ya waliochaguliwa (ndio tunarudi pale pale its just opinions) ingawa nakubali kwamba katika the best Passers of the Ball Pirlo naye yumo
 
Chelsea jana kapigwa na katim kadogo tu, wenzio pale Spain hawapigwi hovyo, msimu huu Barcelona imefungwa mechi moja tu. Moja na Madrid na nyingine na Celtic. Haya sema chelsea kapigwa mechi kibao na hata UCL hawapo, Man u mwenyewe kaponea chupuchupu kutoka UCL, kwa hiyo ubora wa mchezaji unapimwa pia kwa performance ya timu yake. Chelsea unaowasema ni vimeo sana ambao hawatabiliki wakienda uwanjani watafanya nini.
Chelsea kaandika record kibao mwaka huu, timu ya kwanza iliyoshinda ucl iliyoshindwa uefa supper cup, ya kwanza kutoka ucl kwenye makundi, ya kwanza kutoka ulaya ilyotoka mikono mitupu fifa club world cup, ya kwanza ambayo ilishindwa kufunzu uefa badala ikaenda kama bingwa mtetezi. Sasa timu kama hii utacompare na Barcelona, Madrid, atletico Madrid. Mimi naamini wamefanya vema hawajakosea. Hii inaonyesha ligi ya Spain ni bora zaidi kwa sasa.
 
Angalia unachokisema mwenyewe, mwaka huu, hiyo team wala awards sio za perfomance za mwaka huu ila mwaka jana, hivi kuna kipimo kizuri cha team perfomance kama vikombe? Hao barca walishinda kombe gani kubwa mwaka jana? Kama unaongelea kutokufungwa Juventus wamemaliza msimu mzima bila kufungwa hata match moja, lets be honest na tupunguze ushabiki wa kipuuzi.
 
Well football is a game of opinions na zaidi ya proffessional footballers elfu 50 wamechagua hao binafsi naona Ashley Cole tangia amekwenda Chelsea ni just average Pirlo ndio ni mtaalamu lakini maybe league anayocheza haina exposure kama wenzake na ni debatable kama ni zaidi ya waliochaguliwa (ndio tunarudi pale pale its just opinions) ingawa nakubali kwamba katika the best Passers of the Ball Pirlo naye yumo

Seria A haina exposure? Are you serious? Kama hujui nenda kagoogle itakusaidia au mtafute Gang Chomba
 
spain soka iko juu kijana! Soma alama za nyakati achana na ushabiki wa kibongo ambao kila mtu anajiona ana uwezo wa ferguson, maurinho, pep au del bosque!
 
spain soka iko juu kijana! Soma alama za nyakati achana na ushabiki wa kibongo ulojaa unazi.......Then Medias nazo zimewaharibu! So mchezaji gani toka out of Spain clubs aanafaa kukaaa pale.... Mayb YAYA TOURE, VINCENT KOMPANY & JOE HART...hawajatendewa haki hawa
 
Angalia unachokisema mwenyewe, mwaka huu, hiyo team wala awards sio za perfomance za mwaka huu ila mwaka jana, hivi kuna kipimo kizuri cha team perfomance kama vikombe? Hao barca walishinda kombe gani kubwa mwaka jana? Kama unaongelea kutokufungwa Juventus wamemaliza msimu mzima bila kufungwa hata match moja, lets be honest na tupunguze ushabiki wa kipuuzi.

Ni kweli kabisa vigezo havifuatwi badala yake wanaangalia timu inapiga pasi ngapi, Messi anafunga magori mangapi, maana hata Messi mwaka jana kafanya nn kwenye timu yake ya taifa? Hata Barca kwenyewe hakuna kikombe lakini amekuwa mchezaji bora? Wewe jiulize mtu kama Drogba hivi hakufaa kabisa kuingia kwenye tatu bora? Kaisaidia chelsea kuchukua kombe, kaifikisha timu yake ya taifa fainal na zambia, je vigezo siku hizi kupiga chenga tu na kufunga magori? Lazima tukubali ubaguzi na upendeleo upo wazi kabisa.
 
Seria A haina exposure? Are you serious? Kama hujui nenda kagoogle itakusaidia au mtafute Gang Chomba

Mkuu hivi Serie A inaangaliwa kwenye Luninga kama La Liga au Premier League ? Sisemi kwamba ni mbaya bali watu wengi duniani wanaangalia Premier League sababu ya Pace na Kasi; La Liga sababu ya technical abilities na hawaangalii sana Serie A sababu ya defensive tactics...

Hivi Lampard angecheza Italy tungemsema au Wayne Rooney na vipi Pirlo angekuwa England na zile pasi zake si tungempigia kelele mpaka basi ?

Kumbuka wanaochagua shortlist na kupiga Kura ni wanamichezo duniani kwahiyo appearance kwenye News na kuangaliwa sana kwenye TV na clips kunasaidia kumtia mtu machoni na kumpigia Kura (unadhani watu wangekuwa wanaona uchawi wa Pirlo kila wiki tungekuwa tuna madogo wangapi wanajiita Pirlo kitaa ? au wewe unadhani exposure ninamaanisha nini au unabisha kwamba kwenye most watched leagues in the world Serie A inaachwa mbali na La Liga na EPL na inashindana na kina Bundesliga
 
yah, unajua huyu hajamuona RVP ndio maana

ungemtoa nani ili umuweke huyu au ungeweka kila namba watatu watatu au hata ungemuweka kama goal keeper ili mradi tu jina lake liwemo ? cha muhimu ni kuangalia kwenye short list alipambanishwa na kina nani
 
Back
Top Bottom