FIFA first XI ni spain tupu!why?

FIFA first XI ni spain tupu!why?

Kuhusu vigezo hata mimi huwa vinanikera sana. Lakini mimi siangalii Uingereza au Ulaya tu. Maana huo Ugonjwa wa kuangalia Ulaya tu ndiyo unaowakumba FIFA na ndiyo maana wanaishia Spain. Hivyo mimi ugomvi wangu huwa naona kuwa mabara mengine hayawakilishwi vizuri. Ni mtazamo wangu tu Chilubi
Hata Tanzania tuliwakilishwa kwenye kuchagua; Boniface Wambura yule wa TFF yeye alichagua hivi; 1. Christiano Ronaldo, 2. Messi Lionel, 3. Iniesta Andres, so dunia nzima iliwakilishwa.
 
Kwa maoni yangu wasiemtendea haki ni andrea pirlo tu, he had a great season last year with juventus and italy national team,,,

But kuhusu van persie angecheza wapi wakati pale mbele kuna messi, ronaldo na falcao..

Tuseme ukweli katika hao watatu van persie angemuweka bench nani?

Maaba falcao last year atlectico wamemaliza watatu, na wameshinda europa league ambalo ni kombe kubwa barani ulaya, na ile european cup kwa kumfunga chelsea goli za kutosha..

Sasa van persie angempora namba nani messi au ronaldo?
 
Wanajua mpira wapi zaidi ya kubebwa tu?
Ule ni upendeleo wa ligi ya spain tu, wanataka tuamini kama spain ndio kuna ligi bora pekee na wachezaji bora. Katika ligi zinazochukiwa duniani ya kwanza ni ya Uingereza kwa sababu ina wapenzi wengi kuliko wote. Sasa hao UEFA na FIFA wanaosifia spain teams na players, watizame mafanikio ya timu za uingereza katika champions league, timu za uingereza ni mara ngapi zishafika nusu finali tena kwa mfululizo? Spain ni barcelona pekee ndio inafika hatua kubwa! Ligi yao ni timu 2 tu ndo zinapigania taji, hakuna ata changes, uingereza kuna big 4, na kumekua na changes za kwel, tunaona the total fall of liverpool, the struggling of arsenal, kuna the rise of man city, yaani ni ligi ambayo inasisimua asa!

wee huwezi fananisha ligi ya uingereza na spain,. Nakwambia gem ya newsastle na evarton ni kali, kangalie mechi ya valensia na villareal kama hujaboreka. FIFA wanaichukia sana uingereza ila bado ipo juu
 
Kwa maoni yangu wasiemtendea haki ni andrea pirlo tu, he had a great season last year with juventus and italy national team,,,

But kuhusu van persie angecheza wapi wakati pale mbele kuna messi, ronaldo na falcao..

Tuseme ukweli katika hao watatu van persie angemuweka bench nani?

Maaba falcao last year atlectico wamemaliza watatu, na wameshinda europa league ambalo ni kombe kubwa barani ulaya, na ile european cup kwa kumfunga chelsea goli za kutosha..

Sasa van persie angempora namba nani messi au ronaldo?

Mkuu umenifurahisha sana kwa mchango wako.
 
Ila badala ya Pique wangemuweka Vincent Company na badala ya Iker Casilas wangemchukua Joe Hart!

Hayo ndo mawazo yangu wakuu, samahani lakini!
 
Tatizo watu wanashindwa kuelewa,nakubali kwamba wachezaji wengi wanapaswa kutoka La Liga ukilinganisha na EPL,Bundasliga na Serie A,lakini kwa kuangalia perfomance za wachezaji msimu uliopita kuna wachezaji hawakustahili kabisa kuwepo kwenye hiyo list.Lionel Messi,Radamel Falcao,Cristiano Ronaldo,Andres Iniesta,Iker Casilas na Xavi hawa hakuna ubishi kabisa wanastahili kuwepo kwenye hii list kwa mtizamo wangu Sergio Ramos,Marcelo,Dani Alves,Gerrard Pique,Xabi Alonso hawakustahili kabisa Daniel Alves na Pique walikuwa majeruhi na hata walivyorudi muda mwingi waliwekwa benchi na hata walivyocheza viwango vyao vilikuwa vibovu.Wachezaji kama Philip Lahm,Ashley Cole,Vicent Company,Matt Hummells,Giorgio Chielini,Andrea Pirlo wangestahili kuwepo kuliko hao waliokuwepo
 
Mwana mtoka Pabaya.

Punguza jazba asee, kwa hilo povu ulomwaga hapo unataka kusema mafanikio ya team yanapimwa na nini zaidi ya vikombe? Shirikisha ubongo japo kidogo tu.

Hiyo ni timu, lkn hapa tunazungumzia wachezaji. Au unataka kuniambia kuwa 9 alitakiwa awe Torres kwa kuwa timu yake imeshinda Champions League na sio Falcao?

Kama umechukua kombe halafu ukafuatia na kubamizwa kila mechi, bado tuendelee kukuita bora kwa kuwa kombe liko kwako? Hapo ndio unadhihirisha kuwa ulibahatisha na sio bora

Wewe sikuombi kushirikisha ubongo kwa kuwa inaonekana ubongo wenyewe huna kabisa
 
Ila badala ya Pique wangemuweka Vincent Company na badala ya Iker Casilas wangemchukua Joe Hart!

Hayo ndo mawazo yangu wakuu, samahani lakini!
England imewateka wengi,tatizo la kutoangalia ligi ya Spain,Cazorla wengi wenu mmemjua alipokuja Arsenal,Spain wanajua nyie mtawachukia lakini wapo juu
 
yale yale Oh cc simba na yanga wachezaji watoke nusunusu kuitwa timu ya taifa au Tz bara 50% na Tz visiwani 50% nayo,sema nimeamini wengi hapa wanalaumu kwanini Rooney au Walcott hawajaitwa maana ndio wanaamini wachezaji bora wa dunia kha!
 
Spain wako juu, No doubt, na anayepinga hilo atakua na yake.
Ila haimaanishi kwamba ligi nyingine ni mbovu kiasi cha kushindwa kutoa mchezaji japo mmoja kwa ligi nzima aingie kwenye Fifa IX?

And don't be so sure kwamba watu hawaangalii la Liga na hata kama hawaangalii la liga kwa sababu ya upenzi au accessibility wanaweza wakawa walimuona huyo Carzola kwenye Champions League wakati ule Villareal ya kina Riquelme ilifika 1/2 ya UCL
 
Yani katika humu 1000 labda 1 na tena ni wewe ukiniondoa mimi ndio wanaweza kujua Cazorla alicheza Villareal kabla kujiunga na Malaga na kuna mechi msimu uliopita la liga alifunga fri kiki santiago bernebeu vs Real madrid dk za majeruhi kusawazisha 1-1 akitokea benchi msimu uliopita Iker Casillas Fernandez akabaki kaduwaa,ki ukweli % kubwa hapa la liga wanaangalia el clasico na miundo dume 7bu tumetekwa na England na ndio mtawala we2 so imefanya wengi wasiwe atensheni sana na ligi ya Hispania,sana sana ujio wa Beckham real Madrid ukafanya kidogo tena sio sana wa2 kufuatilia la liga na upinzani wa Messi na Ronaldo,ni ujio wako wewe Jose Mourinho Spain nao ndio imefanya el clasico iwe na mvuto kwa wengi wa wa2 hapa tofauti na zamani,ndio maana mtu anajua timu zote na ratiba england kuliko spain kasoro el clasico,wengi tu hapa ukiwaambia barca wanawajua utasikia Puyol,Messi,Iniesta na Xavi ila chokoza everton wanarindima wote achilia hizo big 4 wanazoziita na hii ni sababu ya matajiri wamewekeza kuua ile kila mwaka Man Utd bingwa England,maana ligi ilikuwa 2 race Man Utd na Arsenal miaka ya 97 hadi 2004 ujio wa Abramovich kuiletea chelsea kombe wakikaa miaka 50 huku Spain wakati unakuta deportivo la coruna bingwa kaja valencia,Real Madrid kuna mwaka anakuwa bingwa uefa lakini la liga kamaliza 5 na alibebwa kama mtetezi kutetea uefa lakini alikosa nafasi kwao,ndio maana ikawa kama sheria ikaanzwa ukakuta Chelsea kaingia moja kwa moja badala ya Spurs au liverpool alipobeba uefa ali7bisha england everton nae acheze mchangani vs villareal na kama angemtoa basi england ingeweka rekodi ya kuwa na timu 5 ktk uefa champions ligi msimu wa 2005-2006
 
Back
Top Bottom