Ndio wanaojua mpira kwa sasa!
Wanajua mpira wapi zaidi ya kubebwa tu?
Ule ni upendeleo wa ligi ya spain tu, wanataka tuamini kama spain ndio kuna ligi bora pekee na wachezaji bora. Katika ligi zinazochukiwa duniani ya kwanza ni ya Uingereza kwa sababu ina wapenzi wengi kuliko wote. Sasa hao UEFA na FIFA wanaosifia spain teams na players, watizame mafanikio ya timu za uingereza katika champions league, timu za uingereza ni mara ngapi zishafika nusu finali tena kwa mfululizo? Spain ni barcelona pekee ndio inafika hatua kubwa! Ligi yao ni timu 2 tu ndo zinapigania taji, hakuna ata changes, uingereza kuna big 4, na kumekua na changes za kwel, tunaona the total fall of liverpool, the struggling of arsenal, kuna the rise of man city, yaani ni ligi ambayo inasisimua asa!