FIFA Confederations Cup Brazil 2013

FIFA Confederations Cup Brazil 2013

namuona hapa uwanjani rafiki yake gang chomba,ronaldinho...jamaa anaonekana amechoka mbaya,halafu ukimuona live kafanana na inspekta haroun!

acha uchokozi!mwacheni Chomba na Gaucho wake!unasema kafanana na...kwi kwi kwii!
 
hawa tahit ni sawa na pombe ya msibani..

Hawa jamaa siyo football professionals. Wamekusanywa tuu kutoka kitaa.

Mfano, kuna mchezaji mmoja kazi yake ni kuotesha nazi. Sasa mtu kama huyo huwezi kumweka kundi moja na Ramos.

Kwao the goals didn't matter, but the occasion.
 
Haya ngoja tumuone Naima kama ataleta mbwembwe mbele ya Buluda
 
Hawa Italy bado sijaona ukali wao mpaka sasa.
 
David Luiz anatoka kwa kupata majeruhi, Dante anachukua nafasi yake.
 
Ball Possition …
Brazil - 64% & Italy - 36%
 
Mourinho, GANG CHOMBA na mwenzie JUVE2012 wanaangalia mpira au wamelala?
 
Italy 2 _ Brazil 3, Italy wanapata goli la kuungaunga hapa.
 
290585_herol.jpg
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooool Brazil
 
Back
Top Bottom