FIFA Confederations Cup Brazil 2013

FIFA Confederations Cup Brazil 2013

Questions have to be asked over Gianluigi Buffon there. He will be disappointed with his initial save from Marcelo's shot and looked sluggish in responding to the rebound.
 
goli la kwanza la Dante he made the same mistake....naona anazeeka vibaya. Italy should look for new number one.!
 
wapi GANG CHOMBA na JUVE2012???????????????????????????????????????????
 
Sidhani kama kuna mtu alitarajia kama ITALY atafungwa kirahisi kama hv
 
mkuu Italia huwa hawachezi vizuri mechi zisizo na ulazima.ombea Brazil wasikutane nayo tena Fainali.ila kipigo hiki kinatufanya tukutane na Spain.kwa kweli hapo sina la kusema.presha inapanda presha inashuka!
 
Sidhani kama kuna mtu alitarajia kama ITALY atafungwa kirahisi kama hv

wataliano huwa wana imani fulani ktk utamaduni wao inayowaelekeza kutokupambana sana pasipo ulazima.mara nyingi imani hiyo huwaponza kwenye mechi za kirafiki,kukamilisha ratiba na kufunga magoli mengine wakishatangulia kufunga.ndio maana ni ngumu kusikia Italia kashinda 4-0,5-1,huwezi kusikia scoreline za hivi kwa Azzuri.imani hiyo huwaponza sana.hawapendi kuwa butcher.!ni imani yao ya zamani.
 
Mkuu Kumbuka EURO mwaka, ITALY alikaa 4 bila tena ilikuwa ni fainal. Ngoja tune mkikutana na Spain Baba ya Mpira duniani mtaoga ngapi.
 
JUVE2012 kishakuja kujitetea kwa sauti ya upole kabisa akiwa na majeraha yake moyoni, GANG CHOMBA uko wapi uje na misemo yako???????????????
 
Mourinho, GANG CHOMBA na mwenzie JUVE2012 wanaangalia mpira au wamelala?

Mi nafikiri walikuwa wanaota muda lengwa!
Kha ha ha ha haaaaaaa!
Niliwatakia kila la Kheri Italy lakini ndiyo hivyo.
FULL TIME;
BRAZIL 4 ITALY 2
 
goli la kwanza la Dante he made the same mistake....naona anazeeka vibaya. Italy should look for new number one.!

Naona mmepitiliza sasa, mnataka kumfananisha Gigi na uharo gani?

Team ikicheza vibaya always kipa huwa lawamani, Gigi sio tu kwamba ni the Azzuri nombre uno BUT hakuna kipa kwenye Ulimwengu wa soccer wa kukaribia kiwango cha Gigi
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Sidhani kama kuna mtu alitarajia kama ITALY atafungwa kirahisi kama hv

hatukuwa na sababu ya kuwa na nguzo muhimu za pale kati...
Kwa sababu Italy tushafudhu na hatumuogopi yeyote tutakaekutana nae ktk hatua zijazo...
So tulia kisha umuone buluda ktk nusu fainali atakujaje...
 
Mkuu Kumbuka EURO mwaka, ITALY alikaa 4 bila tena ilikuwa ni fainal. Ngoja tune mkikutana na Spain Baba ya Mpira duniani mtaoga ngapi.

Umeanza kuisikia spain mwaka 2008...
Lakibi Italy wapo tangu na tangu...
So tulia ili uushuhudie mziki wa ngoma ngumu Buluda...
 
goli la kwanza la Dante he made the same mistake....naona anazeeka vibaya. Italy should look for new number one.!

Nini wewe?
Unachuma dhambi kwa kumzihaki Gianluigi Gigi Buffon.
Buffon ni numero uno hapa Duniani.
Hana wa kufanana nae wala wa kumkaribia.
Ni kipa ambaye akifungwa basi mabeki wanakwenda kuokota mpira na kuurusha kati ili watu wauanzishe...
 
Back
Top Bottom