Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
goli la 9
tahiti kama timu ya wete pemba!
Tahiti ni bingwa wa confederation ile yenye timu za Australia New Zealand?
Australia walihamia Asia
hawa tahit ni sawa na pombe ya msibani..
hebu wacheki wanasheria wetu tuone uwezekano wa kuhamia oceania
wazanzibar wakiwa wajanja wakijitoa ktk muungano wajiunge huko oceania badala ya caf
Bado Cavani na Suarez nao watashindana kufunga kama Torres na David Villa
hebu wacheki wanasheria wetu tuone uwezekano wa kuhamia oceania
wazanzibar wakiwa wajanja wakijitoa ktk muungano wajiunge huko oceania badala ya caf
mechi yao ya mwisho na uruguay watachezea kipigo kikali zaidi,suarez pekee atafunga goli 6!
ciao
Mie still ntabaki kuwa wa mwiisho kabisa kuamini kuwa Naima atatamba Ulaya kwa Lavel za Ronaldinho.
Naima nasikia kawachachafya sana mabeki wa Mexico...
Hongera zake sana.
Jaribio lake la kwanza ni siku watakapocheza na ngoma ngumu za Buluda zikiongozwa na Golikipa bora Duniani Gianluigi Gigi Buffon.
So hapo ndo tutatofautisha kati ya Tende na Mende.
ukiwa na kumbukumbu nzuri jaribu kufikiri Yugoslavia alifunga mangapi Congo kwenye World cup