FIFA Confederations Cup Brazil 2013

Neymar homa tupu jamani!hiyo Barca hapa Messi,pale Neymar kule Iniesta,huku Pedro dah!presha inapanda presha inashuka!nilisema Juve ndio kiboko ya Barca lakini kwa sasa nastaafisha usemi wangu!
 
Neymar homa tupu jamani!hiyo Barca hapa Messi,pale Neymar kule Iniesta,huku Pedro dah!presha inapanda presha inashuka!nilisema Juve ndio kiboko ya Barca lakini kwa sasa nastaafisha usemi wangu!

Mie still ntabaki kuwa wa mwiisho kabisa kuamini kuwa Naima atatamba Ulaya kwa Lavel za Ronaldinho.

Naima nasikia kawachachafya sana mabeki wa Mexico...
Hongera zake sana.
Jaribio lake la kwanza ni siku watakapocheza na ngoma ngumu za Buluda zikiongozwa na Golikipa bora Duniani Gianluigi Gigi Buffon.
So hapo ndo tutatofautisha kati ya Tende na Mende.
 
Hata Tomaso hakuamini hadi alipomwona Masihi na kugusa ubavu wake; nawe subiri utaamini tu.
 
Mie still ntabaki kuwa wa mwiisho kabisa kuamini kuwa Naima atatamba Ulaya kwa Lavel za Ronaldinho.

Naima nasikia kawachachafya sana mabeki wa Mexico...
Hongera zake sana.
Jaribio lake la kwanza ni siku watakapocheza na ngoma ngumu za Buluda zikiongozwa na Golikipa bora Duniani Gianluigi Gigi Buffon.
So hapo ndo tutatofautisha kati ya Tende na Mende.

Na mimi pia, Naima alishindwa kufurukuta kwa wachovu wa England ndio aje kuleta mbwembwe kwa Buluda? thubutuuu!!!

Level zake ndio hizohizo za wamexico na wavimba macho wa Japan, ngoja akakutane na beki zisizocheka na kima kwa mkubwa Barzagli na Chiellini, tuone mbwembwe zake!
 
Barrera wa mexico alicheza number 11 wing ya kulia alicheza vizuri zaidi ya Neyma. Dos Santos alocheza poa sana Neyma anaonekana kacheza vizuri sababu ya goal la mwisho
 
Italy 4-3 Japenga...
Semi final hii hapa...
sasa unasemaje mkuu,naweka Tshs milioni 100 na shamba langu la kibada,Tahiti leo anamfunga Spain,unasemaje?wewe weka jiwe wanaokalia wanazi wa Abajalo au hata mlingoti wa magoli wa pale Mashujaa Primary School,ntafute kesho American Chips au Ambiance Afrca sana kwa Chesko kama vp wewe beep tu,voda ikiwa off unajua namba gani utanipata celtel nikupe michailo yako bahati ikienda kwako
 
Na mimi pia, Naima alishindwa kufurukuta kwa wachovu wa England ndio aje kuleta mbwembwe kwa Buluda? thubutuuu!!!

Level zake ndio hizohizo za wamexico na wavimba macho wa Japan, ngoja akakutane na beki zisizocheka na kima kwa mkubwa Barzagli na Chiellini, tuone mbwembwe zake!
Kweli mkuu bado Neymar hajaiva kihivyo,haya ndio yale yale matangazo kama ya waingereza akifunga goli mechi 1 basi gumzo,mbona hata kina Morata,Prieto,Cazorla,Navas,nk wanafunga sana lakini sio gumzo,ila afunge Rooney na sasa Neymar ni gumzo bado sijamkubali kwa mechi 1 ngoja afunge sana,ni kama Bale wanamfananisha na Messi na Ronaldo bado hajafikia level ile,Bale bado hata kwa kina Ribery na Robben level yake ni kina Suarez,binafsi Spain laiti ingekuwa na Messi,Ronaldo au Balotelli basi ni kila mechi ushindi si chini ya bao 3,Spain wachezeshaji wengi inakosa goal target kama enzi zile Torres au Villa walivyokuwa kwenye fomu lakini toka majeruhi viwango vyao vimepungua ndio maana inakuwa ngumu kushinda mabao mengi na hata utakuta mabao labda Ramos,Pique au Pedro au Fabregas ndio wanafunga,Brazil bado,nahisi Japan wangekuwa na kocha ambae anajua mbinu wangesuluhu na Brazil,Scolari kikosi kilekile kila mechi,maana Marcelo binafsi kichochoro sana ni basi tu,ngoja mtihani wao ni kwa Italy hao Brazil,ni uenyeji tu na methali mcheza kwao hutuzwa na wengine mie nyumba ya udongo sihimili vishindo,ila Brazil imebakia historia tu kwa sasa bado Brazil fomu yao haijarudi.
 
nipo uwanjani hapa nashuhudia mechi,nimekaa jukwaa la kusini,kama ni taifa ni ule upande wa mbagala,nimezungukwa na watoto wa kibrazil hatareeeee,!wazungu si wazungu ni mchanganyiko maalum,!dah sijui kama nitarudi bongo
 
namuona hapa uwanjani rafiki yake gang chomba,ronaldinho...jamaa anaonekana amechoka mbaya,halafu ukimuona live kafanana na inspekta haroun!
 
Back
Top Bottom