FIFA Confederations Cup Brazil 2013

dah hii mechi inaniuma roho hatari,usiku hivi?
 
EMT,
Unaona Brazil wanavyocheza sasa hivi hakuna dividing. Magoli yakirudishwa utaona dividing kila dakika
 
Spain inabidi waache mpira wa pasi nyingi...Toress pia anaonekana hana madhara..hope kipind cha pili watabadilika na kirudisha magoli yote mawili plus la ushindi
 
Spain inabidi waache mpira wa pasi nyingi...Toress pia anaonekana hana madhara..hope kipind cha pili watabadilika na kirudisha magoli yote mawili plus la ushindi
Wakaicha pasi nyingi wanapita kiulaini sana beki ya brazil siyo nzuri
 
3 down 1 man out. It's over the empire has crumbled
 
Spain leo kama wamelewa ulanzi

Ni Argentina, Mexico au German ndio wanaweza kuwazuia Brazil 2014.
 
EMT thanx for this useful thread...
Naona atlast tumeoma Brazil wakitetea kombe lao na Spain kishindwa kuweka rekodi ya kubeba makombe yote makubwa duniani.

Tukutane tena Brazil next year in the same forum panapo majaaliwa.
 
Last edited by a moderator:
uyu buffon dawa yake spain

Huyo hana dawa.
Huyo ni kipa kweli kweli...
Kama humjui nenda kafuatilie historia yake.
Kuna kipa alikuwa anadakia Juve akiitwa Edwin Van De Saar, aliposikia Buffon anatoka Parma kwenda Juve yaani hakumuaga hata katibu Tarafa au hata Mtendaji wa kata...yeye alitimkia Fulham na mizigo yake ikatumwa baada ya wiki moja mbele...
Chezea Buffon wewe?
 
duu ebanaee...
 
EMT thanx for this useful thread...
Naona atlast tumeoma Brazil wakitetea kombe lao na Spain kishindwa kuweka rekodi ya kubeba makombe yote makubwa duniani.

Tukutane tena Brazil next year in the same forum panapo majaaliwa.

na inavoonekana mwakani anaweza kutoka kwenye makundi tu hata ajastuka kwanini walisumbuliwa na italy ambayo waliifunga nne kombe la dunia..
 
Last edited by a moderator:
hehehehe kaazi kweli kweli spain kapigwa tatu bila

na kwa historia toka kwa fred aliefunga magoli mawili ambayo yamefungwa kila baada ya dk 1 na sek 30 goli la kwanza na la tatu..
 
Tunaomba urudi tena upige kelele zako tena hapa,utueleze imekuwaje timu yako yenye rekodi ya kutofungwa fainali imekuwaje leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…