Pianist
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 681
- 372
Mimi sio mshabiki wa espana, lakini leo natamani washinde ili wakamfunge brasil jumapili na kuuficha mpira wacheza samba wautafute wasiuone.............
Matokeo ya euro2012 final naona hayataakisi matokeo ya mechi ya leo, kwani waandaji walikosea kuwafanya italia kusafiri umbali mrefu na kutopumzika kwa kutosha hivyo kusababisha wachezaji wa italy kuumia mapema, chielini alishindwa kumaliza mpira, italy walimaliza wachache.