world football
Member
- Nov 24, 2024
- 23
- 33
Tarehe 15, Juni 2025 inatarajiwa kuanza michuano hii itakayo fanyika nchini Marekani.
Awamu hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa michuano hii kutumia mfumo wa mpya wa klabu 32 kama lilivyo kombe la Dunia kwa upande wa timu za taifa.
TIMU ZILIZOFUZU MPAKA HIVI SASA. Chelsea, Real Madrid, Manchester city (bara la ulaya).
Palmeras, Fluminense, Flamengo(Amerika Kusini).
Monterrey, Seattle sounders Pachuca(America Kaskazini).
Al-hilal, Urawa red diamonds, Al-Ain(Asia).
Al-ahaly, Waydad Casablanca.(Afrika).
MATUKIO MENGINE YATAKAYO AMBATANA NA MICHUANO HII
Sheria mpya ya kudhibiti upotevu wa muda kwa makipa.
1. Endapo kipa akishika mpira zaidi ya sekunde 8 timu pinzani itapewa Kona.
2. Thomas muller anatarajiwa kustaafu baada ya michuano hii.