Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,054
- 3,263
Fifa 23 haijakrakiwa hvi wanafanyaje kuipata?
Tumia gamepass, Ea pass, Ps+ deluxe etc inategemea na kifaa chako. Site za magumashi unapata kwa bei rahisi account zake.Fifa 23 haijakrakiwa hvi wanafanyaje kuipata?
Nakuwa na app ya steam, na nyinginezo kwenye pc.Tumia gamepass, Ea pass, Ps+ deluxe etc inategemea na kifaa chako. Site za magumashi unapata kwa bei rahisi account zake.
Kama unachukua Kwa wengine hizi service za online hazitakufaa, subiria Crack.Nakuwa na app ya steam, na nyinginezo kwenye pc.
Napenda kuchukua kwa wengine kukwepa kudownload mafile si unajua mabundle bei mkuu.
Au kama ni windows 10 natumia tu app ya xbox