Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
mkuu reality ndio inayo matter inabidi feel kama kweli upo uwanjani,`better players deserve better game`as usual mkuu conclusion umeitoa mwanzo tu. fifa halina nafasi kwenye kifaa changu chochote game gani halina manjonjo hilo. shule niwe serious, kazini niwe serious na kwenye game piaaaaaaa???????
as usual mkuu conclusion umeitoa mwanzo tu. fifa halina nafasi kwenye kifaa changu chochote game gani halina manjonjo hilo. shule niwe serious, kazini niwe serious na kwenye game piaaaaaaa???????
wamezoea chenga mwazo mpk mwisho mpira wa anakwenda anakwenda,mpk kipa anpiga chega wakati skills ni kwa watu maalum tusasa manjonjo gani, nimecheza fifa, na pes, bwana wee fifa huishindanishi na pes
sasa manjonjo gani, nimecheza fifa, na pes, bwana wee fifa huishindanishi na pes
Fifa graphics tu na kitu kinakua real ila manjonjo na action anazo pes
jaribu fifa mkuu uexperience the difference mi mwenyewe nilikuwa addicted fan wa pes ila baada ya kuhamia fifa pes huwa nacheza mara moja moja sana nikimiss kucheza uefa na kupiga unlimited chengaMimi fan wa pes miaka yote
Nahitaji elimu
zaidi ya haya mambo ili na mie nifanye makeke ni-enjoy na hivi nina
kichwa chepesi ku-adopt new technology nadhani muda mchache ujao nitakua
kama nyie
kwanza mkuu inabidi uwe na interest,cha pili tafuta hayo magame tunayoyazungumzia either uyadownload au uchukue kwa mtu then uinstall kwenye computer yako uanze kucheza uzur yote yana sehemu ya trainining so the more unavyocheza ndo the more unavyojiupgrade kiwango!
ukikaba kwa kushikilia "x" mwanzo mwisho lazima uone ngumu inabidi kidogo uachilie "x" sometime ufanye timing ya attacker na wewe mkabaji la sivyo akina messi na ronaldo watasumbua sana.Fifa ni ya ukweli sana, ingawa inanitesa kwenye kukaba, kuna wachezaji kama MESSI kuwakaba inataka moyo...