FIFA 14 naitoa Bureee, anayeihitaji tuwasiliane.

FIFA 14 naitoa Bureee, anayeihitaji tuwasiliane.

ALEYN Hiyo Fifa 14 unaitoa bure? Mie napenda sana game za soccer ila huwa nashindwa kufanya settings. Kwasasa nina Fifa12 lakini inanizingua. Sijui nini kinapungua. Hai-load.

kama una Laptop njoo nayo siku hiyo, mimi naitoa buree. Ni wewe na nauli yako tuu.
 
Last edited by a moderator:
Mndengereko leo nipo Posta njoo nikupe kipigo cha Mbwa Mwizi, nakutafuta sana yaaani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom